Nimeoa Mrangi

Nov 24, 2022
21
45
Kutokana na misemo kadhaaa na kupitia baadhi ya nyuzi humu ndani, kuhusiana na jamii hiyo sijaamini nilichokutana nacho.

Nimeoa mwanamke mmoja Mrangi, keupe haswa. Kutokana na wanavyosemwa nimemkuta ni 'og' hajawahi guswa. Kamaliza chuo kikuu ana miaka 24.

Hii ni kigezo tosha kuwa jamii inabadilika ama ndiyo bahati nasibu?
 
Memtata

JF-Expert Member
Jul 27, 2013
434
1,409
Kutokana na misemo kadhaaa na kupitia baadhi ya nyuzi umu ndan, kuhusian na jamii hiyo SIJAAAMIN NILICHOKUTANA NACHO.

Nimeoa dem mmoja mrangi keupe haswa. Kutokana na wanavosemwa Nimemkuta ni OG hajawai guswa.

Kamaliza chuo kikuu ana 24 age

Hii ni kigezo tosha kua jamii inabadilika?

Ama ndio bahati Nasibu.
Hongera sana
 
Hoaxer

JF-Expert Member
Sep 7, 2022
507
1,515
Kutokana na misemo kadhaaa na kupitia baadhi ya nyuzi umu ndan, kuhusian na jamii hiyo SIJAAAMIN NILICHOKUTANA NACHO.

Nimeoa dem mmoja mrangi keupe haswa. Kutokana na wanavosemwa Nimemkuta ni OG hajawai guswa.

Kamaliza chuo kikuu ana 24 age

Hii ni kigezo tosha kua jamii inabadilika?

Ama ndio bahati Nasibu.
Barabara ya TARURA umeikagua?
Halafu kumbe wewe bado wakuja, hujawahi kuona zile bikira kule Tanga za wanawake waliokwisha toa mimba zaidi ya moja?
 
Utingo

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
8,812
4,704
Kutokana na misemo kadhaaa na kupitia baadhi ya nyuzi umu ndan, kuhusian na jamii hiyo SIJAAAMIN NILICHOKUTANA NACHO.

Nimeoa dem mmoja mrangi keupe haswa. Kutokana na wanavosemwa Nimemkuta ni OG hajawai guswa.

Kamaliza chuo kikuu ana 24 age

Hii ni kigezo tosha kua jamii inabadilika?

Ama ndio bahati Nasibu.
fungua mlango ili umwamini kisha aanze vimbwanga vyake. siku ukipikiwa kuku kwao kondoa ujue ndiyo mambo yanaanza
 
18 Reactions
Reply
Top Bottom