Nimeoa Mrangi

Barabara ya TARURA umeikagua?
Halafu kumbe wewe bado wakuja, hujawahi kuona zile bikira kule Tanga za wanawake waliokwisha toa mimba zaidi ya moja?

mkuu barabara iko fresh afu zile artificial nazijua maan nimechomoa OG kazaa tu
 
Hongera kwa kuoa kwakweli!
ndoa mpya huwa tamu kuzidi machungwa matamu yaliyoiva vizuri! chunga vizuri yasije leta ukakasi kwenye meno yako siku zijazo
 
Hapo tikiti la buku tano lazima likuhusu
 
Hata Mimi nilitamani kuoa mrangi....hizi komenti zisikutishe
 

hahaha
 
Mi sikubali hadi anamaliza chuo hajaguswa mbususu na Dushe hakuna hakuna na haipo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…