Nimenunua penzi

Nimenunua penzi

Kwa mara ya kwanza nmenunua penzi, yaani nmelala na malaya,

nina hali ngumu, visenti nilivyo navyo vinanifanya nipoteze mwelekeo.

sina mpenzi wa kuamnika.

nawaza kuoa.

napoteza.

naloose control.

nina mambo mengi, mpaka inafkia wakati nayumba, nina stress, nmekonda.

wasichana hawaaminiki, na wa rika labgu ndo pasua kichwa.
Umenunua uchi wala hujanunua PENZI. Penzi halinunuliwi
 
Malaya wana haribu sana destiny mzee.

1.Wamebeba energy za watu wengi na hutumika sana rohon directly au indirectly .

2.Kuna ambao ni visu warembo mno na wana mpunga tu, ila wanafanya hivyo ni kama sehemu ya task zao za kiroho.

3. Wengine si malaya kabisa bali ni malaya wa misimu, inakuwa ni sehem ya tambiko au ku please roho flani kuendelea kufanya agano naye, ndio utakuta mtu anajiweka road au viwanja akifanikisha ana agano lake kuwa haonekani tena.

4.Wengine ni vigagula, yupo pale kuiba nyota na vitu vingine kupitia Sex

5.Wengine ni wakusanya sperm, ambazo zinakaz maalum. Unakuta mwongin hata humgongi ila unalal na fisi kichawi unajiona unakula demu mkali.

Wengine wanakusanya hizo condom, kazi inaendelea.

Deal na ishu zako kiroho, utasolve mengi ya mwilini pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanangu umenitisha
Leo nilikuwa napanga niende concord kariakoo kuchukua toto moja la kiarabu.

Ngoja nitafakari kwanza uliyoyaandika.

Ila nikimaliza kutafakari safari yangu iko pale pale
 
[emoji16] [emoji16] [emoji16] shenzy kabisa
 
Kwa mara ya kwanza nmenunua penzi, yaani nmelala na malaya,

nina hali ngumu, visenti nilivyo navyo vinanifanya nipoteze mwelekeo.

sina mpenzi wa kuamnika.

nawaza kuoa.

napoteza.

naloose control.

nina mambo mengi, mpaka inafkia wakati nayumba, nina stress, nmekonda.

wasichana hawaaminiki, na wa rika labgu ndo pasua kichwa.
Umri gani wewe
 
Penzi halinunuliwi, unanunua kwa shs ngapi penzi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa mara ya kwanza nmenunua penzi, yaani nmelala na malaya,

nina hali ngumu, visenti nilivyo navyo vinanifanya nipoteze mwelekeo.

sina mpenzi wa kuamnika.

nawaza kuoa.

napoteza.

naloose control.

nina mambo mengi, mpaka inafkia wakati nayumba, nina stress, nmekonda.

wasichana hawaaminiki, na wa rika labgu ndo pasua kichwa.
Kijana baada ya kujenga unabomoa.
Rudi kwa muumba wako yupo kwa ajili ya kusaidia watu walo na matatizo kama we.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kawadanganye wadogo zako home.

Back
Top Bottom