MLEVi Mmoja
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 8,512
- 15,128
shangaa weweHivi kuna mtu mwenye pesa atajiuza? Acheni zenu nyie....
Hao malaya wote wanaojiuza wanatafuta pesa.
Hawa jamaa wanaropoka tu
Shida ni pesa hamna kingine
Kama watoto wadogo range 16-19
Wanaenda nunua hawa wadada kuna chimbo huu mkoa nilipo na wadada au wamama wanakubali kulalwa na wadogo zao au watoto wao unadhan shida itakuwa nini ni pesa tu
Sent using Jamii Forums mobile app