King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 60,433
- 88,774
Mkuu embu funguka kuhusu kuandika barua, what ifu matumizi yatafika unit 60 kwa mwezi huku ulishaandika barua?
Hakika huduma za kibenki kwenye simu zimesaidia sana leo hii ilikuwa nilale giza lakini katika kuangalia tigopesa nikakuta kuna shilingi 1200/- nikafanya muamala tanesco nimefanikiwa kupata unit 2 za umeme tosha kabisa mpaka kesho! Da walala hoi tunafurahije?
N:B ukiwa na elf 5000 usinunue umeme kwa kuiweka yote watakata kodi utapata umeme wa sh 3500 badala yake nunua sh 2000, halaf muamala mwingine elf 2000 halaf mwingine elf 1000 utapata unit 12 wakati ukiitoa yote utaambulia unit 7 tu!!!
Wanakuchimba Mkwara hautakiwi kuzidisha unit 50 kwa mwezi,familia yetu kijijini karatu wanatumia hiyo hudumu ila mie unit 50 kwa mwezi hazitoshi maana taa za watts 40 zipo 6 nje zinawaka kuanzia saa kumi na mbili jioni mpaka saa 12 asubui(12hrs x 240w~3Units),Friji unit 2 kwa siku,TV +Redio 2units kwahyo kwa siku natumia karibia unit 7 je kwa mwezi units 200!!
Watu wengine kujifanya wajuaji khaaaa 5000 units 41 Tanesco una hisa? 4,000 unit 10.7, 5000 unit 13.6 kwahyo umeme wa 1000 ni unit 2 na point kadhaa hata kama unakaa ntwara au lindi elfu 5 hauwezipata 41units.
Mmh.... shilingi 5000 kwa uniti 41? Hapana, kwa bei ya umeme ya sasa ilivyopaa, hilo haliwezekani.
Mimi mwenyewe, leo hii nimenunua umeme kwa njia ya simu, nimenunua umeme wa shilingi 8,000 nimeambulia uniti 21 tu!
Hakuna bei hiyo, labda hiyo itakuwa ni bei ya wanaokuwa subsidized, ambao wapo kunapopita bomba la gesi huko Mtwara, baada ya serikali kunywea, baada ya wananchi wa maeneo hayo kupiga mkwara mzito, kuwa hawako tayari gesi hiyo itoke hata kwenye bomba la kalamu!
Vifaa vya 1000w kwa kwa saa 1.
That is, ka friji au pasi yako ina 1000w, utawasha kwa saa 1 tu.
Mkuu embu funguka kuhusu kuandika barua, what ifu matumizi yatafika unit 60 kwa mwezi huku ulishaandika barua?
mkuu mbona mimi nikinunua wa 5000 napata unit 41? Ila kweli ukinunua mwingi wanakupunja, niknunua was 10000 napata 47
Mimi frig yangu sijui ni watts ngapi ila imeandikwa 24hrs 1.1 units
Hakika huduma za kibenki kwenye simu zimesaidia sana leo hii ilikuwa nilale giza lakini katika kuangalia tigopesa nikakuta kuna shilingi 1200/- nikafanya muamala tanesco nimefanikiwa kupata unit 2 za umeme tosha kabisa mpaka kesho! Da walala hoi tunafurahije?
N:B ukiwa na elf 5000 usinunue umeme kwa kuiweka yote watakata kodi utapata umeme wa sh 3500 badala yake nunua sh 2000, halaf muamala mwingine elf 2000 halaf mwingine elf 1000 utapata unit 12 wakati ukiitoa yote utaambulia unit 7 tu!!!
mh! 5000 unit 41? Meaning 8 units kwa buku moja!
Hapana mkuu!
Buku moja ni around 2.3 units!
Mkuu embu funguka kuhusu kuandika barua, what ifu matumizi yatafika unit 60 kwa mwezi huku ulishaandika barua?
Hii ya kuandka barua ili niwe tarif 4,ni haki yangu au mpaka nipite mlango wa nyuma? Naomba nijuzwe.
nunua kwenye simu, kwanza kima cha chini ni sh elf 1000 huwezi nunua umeme wa mia tatu ni uongo!!! nimeshaeleza jaribu uone!asante sana mkuu kwa ugunduzi wako mkuu. mimi huwa nanunua wa tsh 500 napata unit 1.3 au wa tsh 1000 napata unit 2.7. hata kama ukinunua kidogo, umeme wa tsh 300 ni unit 8 tu! sasa hizo unit 12 wewe unazipataje mkuu? naomba utufafanulie.
Kwangu umeme wa 10 elfu napata 26.8 units!