Nimenunua dish la Azam sina ela ya kumwita fundi anifungie

NUNUA BANDO LA BUKU MBILI DOWNLOAD HIZI VIDEO
Opera Snapshot_2023-10-16_165542_www.youtube.com.png
 
Haihitaji ufundi. Mimi langu nilifunga mwenyewe. Cha Msingi ukishalitundika, connect dikoda na tv alafu una calibrate dish Hadi signal strength ifike angalau 76dBuv na signal quality angalau 75%. Mwanaume usikubali kulipa hela kwa Mambo madogo madogo Kama haya.
 
Duh sina mkuu
Tafuta(azima) nyundo,nunua misumari Kisha angalizia kwa jirani uelekeo wa dish.
Chukua hicho king'amuzi nenda kwa jirani muombe ufunge waya uliotoka kwenye dishi,connect hicho king'amuzi fanya auto search.
Rudi na king'amuzi nyumbani chezesha dishi polepole uelekeo uleule tatizo Kwisha ukipata shida ni Pm.🤣🤣🤣🤣🤣👍
 
Back
Top Bottom