Nimenasa kwa mchina

Nimenasa kwa mchina

Wachina mbona watu Poa tu. Tunaishi nao.tunafanya nao Zinaa Sana tu na chakula wanatupikia, tunafanya nao Kazi hapa Canada.. Ni watu Poa.. Ukiwa mtu Wa kispoti spoti huo ni udhaifu... Wachina Poa Sana. Labda wakiwa huko Bongo wanawachezeeni
Mkuu naomba wachina wako poa huko Canada wanaokuja bongo wanatafuta pesa wako kimaslahi hivyo wanamake sure wanapata wanaume bongo ili wapewe uraia waendeleze michakato yao bila usumbufu wa mara kibali kimeisha mara muhamiaji haramu na vingine kama hivyo
 
Mkuu kwani una commitment nyingine? Kwanini usifikirie kumuoa, wanaume wa Kiafrika baadhi yenu mnatabia mbaya sana, nimekutana na Waafrika mmoja kutoka Gambia, Cameroon na Nigeria wameoa wadada wa kizungu baada ya kupata vibali wanatafuta visa vya kuwaacha. Mgambia ananiambia tatizo ni dini, jamani kwani ulivyomuoa bomani si ulijua tofauti ya dini zenu?

Si ajabu hapo ulikwenda kuonja tu nyeupe ikoje. Na wao wana feelings kama watu wengine.
Mkuu hata huyu mchina anataka kibali tu hata kama mm akijichanganya nazuga nae nikipata kibali tusijuane
 
Mkuu naomba wachina wako poa huko Canada wanaokuja bongo wanatafuta pesa wako kimaslahi hivyo wanamake sure wanapata wanaume bongo ili wapewe uraia waendeleze michakato yao bila usumbufu wa mara kibali kimeisha mara muhamiaji haramu na vingine kama hivyo
Mchina hawezi kuchukua uraia Wa Bongo.. Kwani Akichukua uraia Wa Bongo anapoteza wa kwake na mchina hawezi kukubali kuupoteza uraia wake kwa ajili ya nchi maskini ya dunia. Wanachotaka wao Ni urahisi Wa kupata vibali vya kuishi na kurenew bila matatizo
 
Wanaume mtaacha lini kuchezea mabinti za watu!?????? kama huna mpango na mtu siunasepa mapema? yakiwafika shingoni ndio mnastuka, we muoe tu hakuna namna
Nimekoma cheupe,kikombe hiki kikinipita sirudii tena.
 
Mkuu huyo hajakupenda wewe kama wewe bali mshede wako! inasemekana wachina wengi ni vibamia!
Angalau leo nimejua sababu ya kung'ang'aniwa huku,manake hata tukiwa tunaongea tu macho yote kodo kwa Faru John.
 
NIENDELEE KUKUTISHA wale watu hawajui Mungu hawana hofu.. andaa kaburi hahahaha,,,.. me napenda mapenzi yao yani ni full kubebika nakufuatana kama njiwa ... mkuu ukitulia na huyo mchina utaenjoy wanajua kujali wanaume kweli aisee, jitahidi tu asinenepe ... mpende bwana .. samahani umeshakula mzigo ilikuwaje?
Kwa heshima ya reli ya Tazara,na uwanja wa taifa ambao ni kwa hisani kubwa ya wachina sitakuhadithia nilichokiona.
 
Utakoma tunasubiri mrejesho tuje kukuona Hospital gani mmezoea kuwadonoa mademu wa kibongo umeingia chaka sasa
 
Umeshawamiss akina Mwajuma.....
Tulia hapo hapo
 
Umeitunga vizuri saana hii!ila umeficha ulipo!lakini kikubwa ujue anacho anachokitafuta kwako!!
 
Back
Top Bottom