Nimenasa kwa mchina

Nimenasa kwa mchina

NIENDELEE KUKUTISHA wale watu hawajui Mungu hawana hofu.. andaa kaburi hahahaha,,,.. me napenda mapenzi yao yani ni full kubebika nakufuatana kama njiwa ... mkuu ukitulia na huyo mchina utaenjoy wanajua kujali wanaume kweli aisee, jitahidi tu asinenepe ... mpende bwana .. samahani umeshakula mzigo ilikuwaje?
 
Mkuu njoo kwangu nikufundishe na wewe hayo mambo, ili uwe na tahadhali.
 
Apo cha kufanya ni kujifunza karate na kungfu za kutosha,,io itakurahisishia kufanya maamuzi yako....tatizo ni kwamba ukijua katate na kungfu utajiona kama wee pia ni mchina,,,badae utajikuta umemuoa na mapenz motomoto ya kichina....mkiwa kwenye game mtoto wa kike anajirusha ad kwenye dari na akishuka analenga palepale....yan ni atar mapenz ya kichina ni balaa.
 
Siku moja nilienda kung'oa jino kwenye hospitali moja hapa town kwetu,kwa bahati kumbe anayehusika na shughuli hiyo ni dada mmoja wa kichina nikapewa huduma nakuondoka,baada ya shughuli ile tulikutana tena kwa bahati kwenye mgahawa mmoja hapa mjini hapo ndo mazungumzo yakaanza,mazungumzo yakaanzisha uhusiano,uhusiano ambao umekuwa kama kaa la moto kwangu, kwani mi nilikuwa napita tu kumbe binti wa kichina ndo kakolea,binti anadai ndoa keshawaambia wachina wenzie kama 15 hapa mjini na wengi wao wanacheza karate.Nashindwa nimkimbieje kwani mi nimeajiriwa ajira ya kudumu mahali fulani hapa mjini kuhama ghafla siwezi.Na nikiona mazoezi ya kung fu na karate ya wale jamaa zake ndo kijasho kidogo hakiniishi kwapani.....kwa kifupi nimekwama, kumuoa siwezi,kutoroka siwezi,kumuacha naogopa kichapo cha wenzie,yaani hata sijui nifanyeje!!!
Njoo nikufundishe Kukaretika' then unampiga chini
 
Sasa hizo karate zina uhusiano gani na wewe na mpenzi wako
 
Hamna lolote,anatafuta kibali cha kuishi bongo tu huyo! Asikuzingue
 
Back
Top Bottom