Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 21,854
- 26,092
***nataka kulinganisha tu story nazo sikiaga na atakachosema mleta mada
vyabaridi hivyo...!,vina vyao vifupi kweli, ukimalizia yote kana jump kama spring...
***nataka kulinganisha tu story nazo sikiaga na atakachosema mleta mada
afadhali umeniadithia... nasikia wanatoa milio ya mahaba matata je kweli?***
vyabaridi hivyo...!,vina vyao vifupi kweli, ukimalizia yote kana jump kama spring...
Ila kwa singeli wako vizuri sanawnasemaga eti papuchi zao za baridi compare na zetu .. sasa nataka mtoa mada anithibitishie hili
kumbe basi sawaIla kwa singeli wako vizuri sana
Mambo mengine umeshaonja au maneno mengiSiku moja nilienda kung'oa jino kwenye hospitali moja hapa town kwetu,kwa bahati kumbe anayehusika na shughuli hiyo ni dada mmoja wa kichina nikapewa huduma nakuondoka,baada ya shughuli ile tulikutana tena kwa bahati kwenye mgahawa mmoja hapa mjini hapo ndo mazungumzo yakaanza,mazungumzo yakaanzisha uhusiano,uhusiano ambao umekuwa kama kaa la moto kwangu, kwani mi nilikuwa napita tu kumbe binti wa kichina ndo kakolea,binti anadai ndoa keshawaambia wachina wenzie kama 15 hapa mjini na wengi wao wanacheza karate.Nashindwa nimkimbieje kwani mi nimeajiriwa ajira ya kudumu mahali fulani hapa mjini kuhama ghafla siwezi.Na nikiona mazoezi ya kung fu na karate ya wale jamaa zake ndo kijasho kidogo hakiniishi kwapani.....kwa kifupi nimekwama, kumuoa siwezi,kutoroka siwezi,kumuacha naogopa kichapo cha wenzie,yaani hata sijui nifanyeje!!!
hahahaaahaahaa.mixture ya mwafrika na mchina vitoto vinakuwa vichina pori " I hate that mixup..!
Aisee, anaruka hadi juu ya dari halafu anatua palepale kwenye mshimbita, duh!!Apo cha kufanya ni kujifunza karate na kungfu za kutosha,,io itakurahisishia kufanya maamuzi yako....tatizo ni kwamba ukijua katate na kungfu utajiona kama wee pia ni mchina,,,badae utajikuta umemuoa na mapenz motomoto ya kichina....mkiwa kwenye game mtoto wa kike anajirusha ad kwenye dari na akishuka analenga palepale....yan ni atar mapenz ya kichina ni balaa.
Wewe una chura?Mbaya zaidi wachina hamnaga chura
Umeona ehMkuu kwani una commitment nyingine? Kwanini usifikirie kumuoa, wanaume wa Kiafrika baadhi yenu mnatabia mbaya sana, nimekutana na Waafrika mmoja kutoka Gambia, Cameroon na Nigeria wameoa wadada wa kizungu baada ya kupata vibali wanatafuta visa vya kuwaacha. Mgambia ananiambia tatizo ni dini, jamani kwani ulivyomuoa bomani si ulijua tofauti ya dini zenu?
Si ajabu hapo ulikwenda kuonja tu nyeupe ikoje. Na wao wana feelings kama watu wengine.