hahahaha.....Sasa utampataje kirahisi hivi mzee, jitupie pipani nenda baba.......rizki fil manyat mzee hahahaha
Rizki Mantashaau,
hahahaha.....Sasa utampataje kirahisi hivi mzee, jitupie pipani nenda baba.......rizki fil manyat mzee hahahaha
atakuua huyu mkuuWadau,
Nimekua nikifuatilia matokeo ya Uchaguzi wa Kenya kupitia TV Channel ya CITIZEN.
Kuna huyu binti anaitwa Lulu ananikosesha usingizi jamani. Yaani nkimuangalia tu basi mapigo ya moyo yanaenda kasi sana.
Ananifanya hata nashindwa kwenda kulala ili nibaki namuangalia yeye tu.
Yaani kuanzia shape yake mimi hoi, ukija kimo ndo kabisa natetemeka mwili. Upande wa sauti ndio siongei hata kidogo. Atleast ushungi nao ume-add value.
Midomo yake ni ile iliyobinuka Kwa style flani hivi ya Anjelie Jolie halafu kwenye macho yani akuongezea kula kungu basi nahonga kila nlichonacho. Age yake sijajua bado, but hawezi kua zaidi ya 28.
Wadau, huyu binti anautesa sana mtima wangu, naomba mwenye uwezo wa kupata contacts zake anisaidie please my fellow JF members.
View attachment 87169
Lulu Hassan
wall yake katika fb ni hii hapa chini,unaweza anzia hapo
https://www.facebook.com/Officialpageluluhassan
Ndiye yule aliyekuwa anatangaza hali ya hewa? Mie nilitokea kukipenda kipindi hiki wakati wake kwa sababu yake lol
yupo huyu Isha Sesay wa CNN,dah ana pozi za kufa mtu huyo niga.Daaah mim nilikua namkubali tumi makgabo ebana btw wako atlanta hawa mamanzi wa CNN
Daaah mim nilikua namkubali tumi makgabo ebana btw wako atlanta hawa mamanzi wa CNN
yupo huyu Isha Sesay wa CNN,dah ana pozi za kufa mtu huyo niga.