Bamukunda
JF-Expert Member
- Jul 3, 2011
- 394
- 261
Hiyo UH++ yao, ukimkubali hapa hapo tamaa inamuishia. Achana naoWanaume mnakazi kweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeli.
Hiyo UH++ yao, ukimkubali hapa hapo tamaa inamuishia. Achana naoWanaume mnakazi kweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeli.
Ndiye yule aliyekuwa anatangaza hali ya hewa? Mie nilitokea kukipenda kipindi hiki wakati wake kwa sababu yake lolUmenifanya nimkumbuke Femi Oke wa CNN, na sijui sasa hivi yuko wapi!
Aisee huu mdomo utafanya ndoa yangu ivunjike
Kumbe tuko wengi sana, mimi ananifanya nisiwe na usingizi kabisaaa, ni kama nimekunywa redbull 20. Mimi nimependa kucha zake pamoja na nyusi zake bila ya kusahau nywele pia zinanipagawisha na kunifanya nisiwezekutembea
Haha Lulu is married and has a Child.Julie gichuru is married with four children.

Wa kawaida kwako labda,
Kwangu bado ni mkali.
Ndiye yule aliyekuwa anatangaza hali ya hewa? Mie nilitokea kukipenda kipindi hiki wakati wake kwa sababu yake lol
Anayatamani mwanamke,Amezini