Nimemzimikia Binti wa TV ya CITIZEN- Kenya

Nimemzimikia Binti wa TV ya CITIZEN- Kenya

Shark ........you are one of the most ferocious creatures known to mankind.........you eat to live and you live to eat!

images

So unanipa moyo nijitose tu pale??
 
hahhahah kweli mfadhaiko kitu kibaya mpaka na age unaiwaza?sasa we age yake inahusu nini?unless awe under 15.
 
Acheni kumshobokea shemeji yenu bhana!,baada ya kuona mademu wa bongo siyo nikahamia kwa jirani zetu ke na huku mnamtolea mimacho! Daah,naanza kuishi kwa wasiwasi sa
 
Jana nilimvizia nipate picha ya full, ili niitumie kwenye hayo mambo.
Sema sasa kuna lile limeza lao ndo lilimziba kwa chini.

:A S shade::A S shade: duh kwa hiyo miguu hukuiona? Angalia jina lake FB.
 
Wadau,
Nimekua nikifuatilia matokeo ya Uchaguzi wa Kenya kupitia TV Channel ya CITIZEN.

Kuna huyu binti anaitwa Lulu ananikosesha usingizi jamani. Yaani nkimuangalia tu basi mapigo ya moyo yanaenda kasi sana.

Ananifanya hata nashindwa kwenda kulala ili nibaki namuangalia yeye tu.

Yaani kuanzia shape yake mimi hoi, ukija kimo ndo kabisa natetemeka mwili. Upande wa sauti ndio siongei hata kidogo. Atleast ushungi nao ume-add value.

Midomo yake ni ile iliyobinuka Kwa style flani hivi ya Anjelie Jolie halafu kwenye macho yani akuongezea kula kungu basi nahonga kila nlichonacho. Age yake sijajua bado, but hawezi kua zaidi ya 28.

Wadau, huyu binti anautesa sana mtima wangu, naomba mwenye uwezo wa kupata contacts zake anisaidie please my fellow JF members.

Umenifanya nimkumbuke Femi Oke wa CNN, na sijui sasa hivi yuko wapi!
 
Mimi jamani hoi bin taabani kwa Ufo Saro wa ITV.
 
Mimi anayenichanganya zaidi ni yule anayeripoti toka Mombasa sijui anaitwa Esther yaani mimi hooiii
 
Back
Top Bottom