Nimemzimikia Binti wa TV ya CITIZEN- Kenya

Shark

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2010
Posts
29,932
Reaction score
30,046
Wadau,
Nimekua nikifuatilia matokeo ya Uchaguzi wa Kenya kupitia TV Channel ya CITIZEN.

Kuna huyu binti anaitwa Lulu ananikosesha usingizi jamani. Yaani nkimuangalia tu basi mapigo ya moyo yanaenda kasi sana.

Ananifanya hata nashindwa kwenda kulala ili nibaki namuangalia yeye tu.

Yaani kuanzia shape yake mimi hoi, ukija kimo ndo kabisa natetemeka mwili. Upande wa sauti ndio siongei hata kidogo. Atleast ushungi nao ume-add value.

Midomo yake ni ile iliyobinuka Kwa style flani hivi ya Anjelie Jolie halafu kwenye macho yani akuongezea kula kungu basi nahonga kila nlichonacho. Age yake sijajua bado, but hawezi kua zaidi ya 28.

Wadau, huyu binti anautesa sana mtima wangu, naomba mwenye uwezo wa kupata contacts zake anisaidie please my fellow JF members.
 
Duh! Kumbe tupo wengi!

Lol! Nawaachia wakubwa!
Kazi kwenu!
 
Kumbe tupo wengi kaka me hapa nimeshindwa kwenda kulala nabaki namwangalia tu, mimi huu ushungi tu hoi.
 
Mtoto wa kikikuyu huyo ukichelewa kurudi tu anakupiga mangumi.. Si umesikia kenya wanawake wanapiga wame zao..

Halafu wana confidence hao, si unajua elimu ya kenya sio ya kata kama zetu
 
Tupo wengi kaka, mimi napenda huyo mtoto aolewe na mimi au Mtz yeyote
 
mmemsema sana mtoto wa watu mpaka amechapia
 
Watu wa sabuni hawajifichi,mtu hata awe sayari ya mars,ikipatikana taswira yake tu ujue mtu kalika bila tarajio.
 
Wadau,
Nimekua nikifuatilia matokeo ya Uchaguzi wa Kenya kupitia TV Channel ya CITIZEN.

Kuna huyu binti anaitwa Lulu ananikosesha usingizi jamani. Yaani nkimuangalia tu basi mapigo ya moyo yanaenda kasi sana.

Ananifanya hata nashindwa kwenda kulala ili nibaki namuangalia yeye tu.

Yaani kuanzia shape yake mimi hoi, ukija kimo ndo kabisa natetemeka mwili. Upande wa sauti ndio siongei hata kidogo. Atleast ushungi nao ume-add value.

Midomo yake ni ile iliyobinuka Kwa style flani hivi ya Anjelie Jolie halafu kwenye macho yani akuongezea kula kungu basi nahonga kila nlichonacho. Age yake sijajua bado, but hawezi kua zaidi ya 28.

Wadau, huyu binti anautesa sana mtima wangu, naomba mwenye uwezo wa kupata contacts zake anisaidie please my fellow JF members.

hahahaha.....Sasa utampataje kirahisi hivi mzee, jitupie pipani nenda baba.......rizki fil manyat mzee hahahaha
 
Haha Lulu is married and has a Child.Julie gichuru is married with four children.
 
Back
Top Bottom