Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,493
- 145,853
Nakubaliana na wewe 100%.
Pamoja na mazuri yote ya Clouds kwa jamii haimaanishi watangazaji wa Clouds wote ni wazuri 100%. Usifanye majumuisho ya jumla vinginevyo mizani yako haitatenda haki.
Ingawa umesema target group yao ni hadi miaka 34 basi kuna mgongano pale wanapojiita "redio ya watu" ikimaanisha watu kwa ujumla wao.
Channel 5 wao wanajitambulisha kama Tv na.1 ya vijana, kwa hiyo wazee pale sio mahali pao.
Ila napenda kwamba umejitambulisha upande upi wewe unasimamia.
Ninapoona watu wanasema eti Kibonde sijui anatumia ARVs, mara Kibonde sijui nini, mara Diva kafanya hivi na mashuzi mengine kama hayo huwa nakereka sana. Mimi hapa nipo kuleta uwiano tu. Sisemi kwamba hawana mabaya. Kwani ni nani huyo mwenye mazuri tu? Lakini kuwafanya Clouds kama ni watu wabaya sana kama virusi hilo nalikataa na nitawatetea bure mpaka siku nitakayovuta pumzi yangu ya mwisho.
Hakuna mgongano kwenye kauli mbiu yao. Kwani hiyo age group siyo watu? Na hilo la watu wote kwa ujumla wao ni tafsiri yako tu ambayo una haki kuwa nayo. But I caution you not to be so literal on everything.
Hapo umenenaim in love with blackbeuty offcoursse
Kama kawaida yako ukisikia clouds fm unataka kulia wanapochambuliwa watangazaji haswa kibonde na wengine Sasa kama unahuhusiano na clouds na unaumia roho basi chukua comments humu washauri wabadilike la sivyo itaendelea kama kawaMie nasikilizaga pia online na kuburudika na music na clouds radio ya online ni juu haswa na inatuburudisha hata tukisafiri kwenda njeBali watangazaji wanaopondwa na wengi lazima wabadilike and that is a FACTNinapoona watu wanasema eti Kibonde sijui anatumia ARVs, mara Kibonde sijui nini, mara Diva kafanya hivi na mashuzi mengine kama hayo huwa nakereka sana. Mimi hapa nipo kuleta uwiano tu. Sisemi kwamba hawana mabaya. Kwani ni nani huyo mwenye mazuri tu? Lakini kuwafanya Clouds kama ni watu wabaya sana kama virusi hilo nalikataa na nitawatetea bure mpaka siku nitakayovuta pumzi yangu ya mwisho.Hakuna mgongano kwenye kauli mbiu yao. Kwani hiyo age group siyo watu? Na hilo la watu wote kwa ujumla wao ni tafsiri yako tu ambayo una haki kuwa nayo. But I caution you not to be so literal on everything.
Kama kawaida yako ukisikia clouds fm unataka kulia wanapochambuliwa watangazaji haswa kibonde na wengine Sasa kama unahuhusiano na clouds na unaumia roho basi chukua comments humu washauri wabadilike la sivyo itaendelea kama kawaMie nasikilizaga pia online na kuburudika na music na clouds radio ya online ni juu haswa na inatuburudisha hata tukisafiri kwenda njeBali watangazaji wanaopondwa na wengi lazima wabadilike and that is a FACT
Wabadilike kitu gani wakati kanuni ya mafanikio tayari wanayo kibindoni? Na waendelee tu kuwarusha roho nyie waosha vinywa wenye kisebusebu. Hakuna cha kubadilika. Wakaze buti na tena naombea waendelee kuwa-aggravate watu.
Huyu mtoto ana sauti ya ukweli na ya kimapozi .. lingekuwa embe ningekula hadi majani .. mashalaaah!!!!
ningepata pics zake dah!ingekuwa poa sana
jew unauchoma mtima wangu kwa hii pic..
fanya mambo basi nikutane nayeHa ha mkuu ngoja tumuone wote. She is cute
fanya mambo basi nikutane naye
huyu mtto lazima huwa nasikiliza sauti yake daily.. mnisipomsikiliza huwa hadi haumwa mazee