Nimemwambia nibebee Mimba ili nikuoe hataki

Mlundilwa Jr

JF-Expert Member
Dec 11, 2019
2,896
4,311
Wakuu habari

Huyu binti nahisi kaikosa ndoa, yaani ni zoezi simple lakini anashindwa kutekeleza, wakuu sikuizi watu tumeshtuka hatutaki kuoa mwanamke asiyezaa, nahisi huyu binti anataka kuzeekea nyumbani.

Inabidi tushtuke wakuu ndoa nyingi zimekosa mvuto kutokana na kukurupuka kuoa mwanamke asiye na uzazi matokeo yake inakua mzozo kwa ndugu na jamaa kwamba kwanini umeoa mgumba.

Mabinti acheni kuchezea bahati wenzenu wanazisaka ndoa kwa waganga sasa endeleeni kushikwa akili na mama zenu.

1620636450469.png
 
Una mtazamo na uelewa hafifu sana juu ya suala zima la afya ya uzazi. Wewe umepima una uhakika kwamba una uwezo wa kumpa mimba mwanamke? Maana wengine huwa wanatukana wanawake zao kuwa wanajaza choo tu, kumbe wao ndo wajaza choo, maana hawana uwezo wa kumjaza mimba mwanamke.

Matatizo ya kutopata watoto kwenye ndoa/mahusiano kulingana na tafiti zinaonyesha kuwa husababishwa na sababu za mwanaume kwa asilimia 50.

Kwa hiyo kabla hujaanza kulaumu wadada wa watu nakushauri nenda kapime wewe kwanza.

By the way, mwanamke atakaekubaliana na hilo sharti lako na yeye atakua ni zoba tu. Ila uzuri mazoba wako wengi siku hizi, so utampata tu wa kufanana naye.
 
We kweli Akili hunaa...unamwambia hivo kabisaa...Mjengeee uaminifu akuamini then Tia mimba kimya kimya halafu akishakwambia tu kuwa ana mimba husikawie anza process apo apo ili uzidi kumjengea imani ila sio kuja apa kulalamika
 
Back
Top Bottom