luckyline
JF-Expert Member
- Aug 29, 2014
- 15,023
- 21,268
Hata hivyo nadhani hujaelewa.kwanza nilikuwa sikujibu wewe nilimjibu aliesema eti ntaingia ndoano univue. Na mm ndo nikamjibu kuwa siwezi vuliwa na watoto wadogo. Na sio kila mtu anaecomment uzi zako lazima akutamani. Ndicho nilichojaribu kumjibu alonambie eti utanivua.Jaribu tu kuheshimu watu usiowafahamu. I have my life and you have yours. Why dont you stick on yours? Hufahamu umri wangu why you disrespect me? Wanawake wengi wa humu you like to be mistreated. Hampendi kujiheshimu.sisi wengine hatukuelelwa kutukanana na watu. Thats why we mind our own business. Sijawahi mkosea heshima anybody humu JF. Coz i have my own life. Msitake kuzoeana na watu kwa style hiyo ya kukoseana heshima.
Rudi page ya 2 uone kwa nini nilimjibu hivyo huyo membe na sio wewe.
Na nilimjibu hivyo coz naamini nakuzidi umri.
Hawezi from no where aniambie eti utanivua as if ananijua. Ilibidi nimjibu coz i have my class. Mm ni tofauti kabisa na watoto wa humu.ambao anahisi wanaweza vuliwa kirahisi.
Rudi usome ujuwe nilikuwa namjibu nani na sio wewe.