Mimi nafikiri mwamba ambane mpaka afunguke aliyoyaongea edeni haiwezekani hawa ke watupe tabu namna hii kisa hyo kibisa.Mwache aende zake mwana kwenda unajua ni huyu pekee ndio alikutana na kuongea na Eva pale bustanini?
Jr[emoji769]
Nakumbuka huyu nyoka aliwahi kusababisha mzee mmoja kutupa Biblia aliokuwa anaisoma chini ya mti,maana nyoka alijiachia kutoka juu ya mti akadondokea kwenye Biblia,kilichotokea ilitupwa mbali sana kabla ya mzee kugundua kuwa asingepaswa kupanic kwani alikuwa maeshikilia neno la Mungu...
aisee watu mnamioyo mikubwa kushika nyoka
Mimi nafikiri mwamba ambane mpaka afunguke aliyoyaongea edeni haiwezekani hawa ke watupe tabu namna hii kisa hyo kibisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivyo vinyoka vipo vingi, kiliniingilia chumbani katika purukushani kikasababisha nichane net yangu
Nawaza umewezaje wezaje yani kumkamata? [emoji3]
Hawana sumu??
WANA JAMII FORUMS, TUSIFANYE MAKOSA TENA OCT 2020
Wana sumuHawana sumu??
WANA JAMII FORUMS, TUSIFANYE MAKOSA TENA OCT 2020
Ila tuseme ukweli nilishtuka mno.Mkuu ilikuwaje?
Haka kajamaa kaliingia ghetto nikakamata.View attachment 1424745View attachment 1424746
Sent using Jamii Forums mobile app