Nimemuongezea ulinzi mchumba wangu


yaani mule mule mwanawane. umeeongea ukweli kabisaaaaaa.
 
kabisa utalindaje kiporo hahahaha waachie waliobahatika kuzinyaka bikra tuzilinde ndoa zetu muruaaaaa UKIOA BIKRA UNAJIAMINI


Huwa nawaambia watu..hakuna haja kulinda.mtu wala kuwa na wivu ulikuta barabara nyeupeee....na hakuna cha kukuzuia usioe mke wa pili kama utamkuta ni bikra
 
Huu ujinga sijui umeanzia wap, akijua umefanya yote hayo imekula kwako, akili ya mwanamke unaijua kweli?
 
Hivi ndo vitu vitasababisha sasa aliwe hadi na wavimba macho....

Siku akaja kujua unamtrack ndo atakuja na plan B, kama anasoma au anafanya kazi huko si anakutana na wanaume mkuu?

Usiombe tuu akakutana na smart boys kushinda wewe, manake kuna wale watu waliopewa upeo wa kukubalika just by appearance....

Mama akimkubali tuu, anaenda kumvulia chupi mwenyewe...mwishowe ataliwa mpaka basi.....

Nakuombea Mungu tuu usijue analiwa lini, na ni nani manake utaumia mkuu....

Tena ukishamua ndo hadi sisi madomo zege tunapiga.. !

Wewe mlishe vizuri na mvishe vizuri tuu....
 
Muache aishi maisha yake, ishi maisha yako.. Mapenzi ya kulindana hakuna, kama anakupenda atakujali, kukuheshim na kukuthamin.. Sasa wee mlinde linde umkere akuoneshe kama anaweza ..

Ndio shida za kuishi na mpenzi uliempenda zaid.
 
Unajilinda wewe ama unamlinda yeye,pole sana ila endelea kujipa matumaini 99.9%
 
Utakujaga kujifia kwa kihoro kwa wivu wako, binadamu siyo wa kuchunga kama mbuzi
Badala ya kufikiria mbinu za kujileta maendeleo anafikiria kumchunga binadamu mwenzie. Mwnamke akidhamiria kuchepuka dakika kumi nyingi.
 
mimi siwezi kukubali demu wangu akaliwa na mwingine, hatuwezi share sehemu napumzikia aisee!!! hili nimeshaamua na nalitekeleza kwa vitendo!!
ww utakuwa kwenye utafit wa thesis yako ya masters/ phd tu na unatafuta data humu. ila kiuhalisia huwez mlinda dem. hawa viumbe wana akil nying balaa". labda aamue yy kuwa mstarabu kwako.
lakin eti ulinz..duh, hata k ungei"trace" kwa gps au cctv, atapigwa tu(in pinda's voice)!!&[emoji2] [emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…