Nimemuomba donati mke wangu ameninyima, naombeni Ushauri

Anza kulia huku ukigalagala atakupa tu
Mke wangu kadai talaka kimya kimya sasa hivi kaolewa na Mwanaume mwingine!

Mimi ni baba wa mtoto mmoja, miaka 3 iliyopita nilifunga ndoa na mke wangu, kutokana na ujana baada ya miezi 3 tu niliichoka ile ndoa na kumrudisha Kwakweli sikuwa na sababu yoyote ila niliona kama ana kisirani sana na kuninyima donati yakee..yaani nilikua sina uhuru wa kufanya mambo yangu kama nilivyokua sijaoa, nikirudi nyumbani nimechelewa analalamika, nikitoka out shida, nikaona nimuache kwanza.

Nilimfukuza na sikujali kama anaishi wapi, kipindi anaondoka alikuwa na ujauzito, hivyo mpaka anajifungua hata sikukumbuka kumtafuta. Yeye alikuwa ananitafuta kila siku ila nilikuwa namjibu vibaya, namwambia ukipata mwanaume mwingine mpe huyo mtoto, mimi nilikosea kuoa. Ukweli ni kwamba sikuwa na mpango wa kumuacha moja kwa moja ila nilikuwa nikimuambia vile ili tu asinichoshe. Alinisumbua sana mpaka mwaka jana mwezi wa 6 ndipo aliacha kabisa kunitafuta, mpaka leo sijawahi kumuona mtoto wangu kwani nilikuwa sitaki kumuona, nikiamini kuwa nikimuona nikambeba hisia zinaweza kunifanya nirudiane na mama yake, na mimi sikutaka!

Basi, niliingia kwenye mahusiano mengine nikiamini kuwa yatanipa amani. Mwezi wa 9 nilianza kuishi na huyu mwanamke mwingine, hajui kama nilishawahi kuoa kwani anakuja kwangu ananiona naishi mwenyewe. Nilijitambulisha kwao ili akubali kuishi na mimi na ana ujauzito sasa anakaribia kujifungua.

Changamoto ni kwamba nimekuja kugundua kuwa wanawake wote ni wale wale, huyu naye nimemchoka kwani tangu kuanza kuishi naye kisirani chake ni kilekile kama cha ex wangu, hivyo kwa kuwa tayari ni ndoa ya kanisani nikaamua kurudi kwa mke wangu. Wiki iliyopita niliamua kumtafuta na kumuomba kumuona mtoto, alinijibu vizuri tofauti na nilivyotegemea, akanambia nikitaka kumuona mtoto ruksa, nikamuulizia anaishi wapi.

Akaniambia yuko hapa hapa Dar lakini sasa hivi yeye ni mke wa mtu hivyo siwezi kwenda kwake. Kwakweli nilishangaa kwani tuna ndoa ya kanisani, nilipomwambia kuwa wewe ni mke wangu, akanitumia nakala ya talaka ya mahakamani kumbe alifungua kesi ya talaka bila kunishirikisha, ikawa kama mimi nililetewa samansi na nikasaini lakini sikufika mahakamani, hivyo talaka ikatoka upande mmoja. Nilifuatilia mpaka mahakamani nikakuta kweli talaka ilitoka mwaka jana. Kwakweli nimechanganyikiwa. Hivi ni kweli mtu anaweza kupewa talaka bila mimi kuwepo? Nataka kurudiana na mke wangu, nimejikuta nina hasira naumia, nalia kila siku, yaani hata kazi nimeshindwa, sijui nafanya nini? Najua nilikosea lakini nimejirudi nataka kuishi na mwanangu nifanye nini ili kumrudisha?
 
Shida ni uoga wa kisichojulikana,kwani ukitulia mwenyewe itakuwaje buda,wafugahi nawapenda sana hawanaga muda na mtu.
 
Nenda kamsemee kwa babu yake
 
Utamu wa donati upate mwanamke anaefurahia kuriwa donati... Vinginevyo itakua haipendezi
 
Rushwa iltumika kutolewa divorce decralation.Kama uko serious nenda kwa wakili.Hi yo talaka ni batili kwani kwenda mahakamani inapidi mpite baraza la usuruhishi na ustawi wa jamii ambao hutoa Kibali kwamba ndoa imekuwa irreparable.
..aende mahakamani ili arudishiwe mke?
 
Mke wangu kadai talaka kimya kimya sasa hivi kaolewa na Mwanaume mwingine!

Mimi ni baba wa mtoto mmoja, miaka 3 iliyopita nilifunga ndoa na mke wangu, kutokana na ujana baada ya miezi 3 tu niliichoka ile ndoa na kumrudisha Kwakweli sikuwa na sababu yoyote ila niliona kama ana kisirani sana na kuninyima donati yakee..yaani nilikua sina uhuru wa kufanya mambo yangu kama nilivyokua sijaoa, nikirudi nyumbani nimechelewa analalamika, nikitoka out shida, nikaona nimuache kwanza.

Nilimfukuza na sikujali kama anaishi wapi, kipindi anaondoka alikuwa na ujauzito, hivyo mpaka anajifungua hata sikukumbuka kumtafuta. Yeye alikuwa ananitafuta kila siku ila nilikuwa namjibu vibaya, namwambia ukipata mwanaume mwingine mpe huyo mtoto, mimi nilikosea kuoa. Ukweli ni kwamba sikuwa na mpango wa kumuacha moja kwa moja ila nilikuwa nikimuambia vile ili tu asinichoshe. Alinisumbua sana mpaka mwaka jana mwezi wa 6 ndipo aliacha kabisa kunitafuta, mpaka leo sijawahi kumuona mtoto wangu kwani nilikuwa sitaki kumuona, nikiamini kuwa nikimuona nikambeba hisia zinaweza kunifanya nirudiane na mama yake, na mimi sikutaka!

Basi, niliingia kwenye mahusiano mengine nikiamini kuwa yatanipa amani. Mwezi wa 9 nilianza kuishi na huyu mwanamke mwingine, hajui kama nilishawahi kuoa kwani anakuja kwangu ananiona naishi mwenyewe. Nilijitambulisha kwao ili akubali kuishi na mimi na ana ujauzito sasa anakaribia kujifungua.

Changamoto ni kwamba nimekuja kugundua kuwa wanawake wote ni wale wale, huyu naye nimemchoka kwani tangu kuanza kuishi naye kisirani chake ni kilekile kama cha ex wangu, hivyo kwa kuwa tayari ni ndoa ya kanisani nikaamua kurudi kwa mke wangu. Wiki iliyopita niliamua kumtafuta na kumuomba kumuona mtoto, alinijibu vizuri tofauti na nilivyotegemea, akanambia nikitaka kumuona mtoto ruksa, nikamuulizia anaishi wapi.

Akaniambia yuko hapa hapa Dar lakini sasa hivi yeye ni mke wa mtu hivyo siwezi kwenda kwake. Kwakweli nilishangaa kwani tuna ndoa ya kanisani, nilipomwambia kuwa wewe ni mke wangu, akanitumia nakala ya talaka ya mahakamani kumbe alifungua kesi ya talaka bila kunishirikisha, ikawa kama mimi nililetewa samansi na nikasaini lakini sikufika mahakamani, hivyo talaka ikatoka upande mmoja. Nilifuatilia mpaka mahakamani nikakuta kweli talaka ilitoka mwaka jana. Kwakweli nimechanganyikiwa. Hivi ni kweli mtu anaweza kupewa talaka bila mimi kuwepo? Nataka kurudiana na mke wangu, nimejikuta nina hasira naumia, nalia kila siku, yaani hata kazi nimeshindwa, sijui nafanya nini? Najua nilikosea lakini nimejirudi nataka kuishi na mwanangu nifanye nini ili kumrudisha?

Mdalasini umezidi
 
Nini maana ya donati??

Tuanzie kwanza hapo hlf ndo tukushauri
 
Upo mji gani nikuelekeze pa kwenda,?
 
Ndoto yako ina lugha ya picha (symbolic) na inaweza kubeba ujumbe wa kisaikolojia, kijamii au kiroho, kulingana na mazingira yako halisi. Hapa ni tafsiri ya jumla kwa baadhi ya vipengele vya ndoto hiyo:

---

🔍 1. Mkutano wa CCM – (Kambarage stadium)
Huu ni eneo la mamlaka, siasa na uongozi. Kuwa juu kwenye viti vya nyuma kunaweza kuonyesha kutazama mambo kwa umbali, au kutokuwa sehemu ya uamuzi moja kwa moja, lakini bado una mtazamo.

---

🧍‍♂️ 2. Askofu Gwajima akimpinga Rais Samia
Hii inaweza kuwakilisha mgongano wa mamlaka (dini dhidi ya siasa), au mtu mwenye ushawishi akikemea uongozi. Inaweza pia kuwa ishara ya mtu anayejaribu kusema ukweli dhidi ya mfumo mkubwa.

---

🦶 3. Furaha yako na harakati zako
Unajihusisha — unaruka kwa furaha, unashuka kwa kasi, unachukua mchanga — yote ni ishara ya hamu ya kuchukua hatua, kulinda haki au kupinga dhuluma. Pia inaonyesha jasiri ndani yako licha ya umbo dogo.

---

💪 4. Kuona vijeba vitatu na kuogopa
Hii ni picha ya mamlaka kali au mfumo unaotisha, hata kama wewe na wengine ni wengi. Inaonyesha woga wa wananchi au mtu binafsi kupigana na mfumo mkubwa, hata kama una sababu ya kufanya hivyo.

---

😢 5. Hofu ya wananchi
Inaonyesha kwamba, pamoja na nia na ujasiri wa mtu mmoja, wengi hujiondoa au huogopa kuamka dhidi ya nguvu za mfumo.

---

📌 Ujumbe Unaowezekana:
  • Unaweza kuwa una hisia za kukandamizwa au kuiona haki ikikandamizwa, lakini pia una kiu ya kusimamia kile unachoamini.
  • Inaweza kuwa wito wa kuchukua hatua, au ishara ya vita ya ndani kati ya hofu na ujasiri.
  • Pia inaweza kuakisi hali ya kisiasa au kijamii unayojihusisha nayo sana, au kuiona haiko sawa.

---

Ukitaka tafsiri ya kiroho au ya kitaalamu ya kisaikolojia zaidi, naweza kusaidia. Pia, je kuna tukio au mjadala wa kisiasa uliohusika nao hivi karibuni?
 
Back
Top Bottom