Think2 JF-Expert Member Joined Jan 3, 2025 Posts 2,193 Reaction score 3,957 Sep 3, 2025 #81 Donati unalinganisha na hilo acha uzwazwa unatuhaibia chakula
M mtechnical JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 356 Reaction score 877 Sep 6, 2025 #82 We huna akili aisee, hivi kweli haujui kuwa mwanamke akipata mimba anabadirika, anakuwa na hasira na kisirani?
We huna akili aisee, hivi kweli haujui kuwa mwanamke akipata mimba anabadirika, anakuwa na hasira na kisirani?
mangaigwe Member Joined Nov 15, 2019 Posts 31 Reaction score 47 Sep 6, 2025 #83 Jaribu kuolewa manake kuoa unaonekana hutaki mzee baba kaza mtoto wa kiume manake sababu zako za kuachana nao hazina mashiko kabisa
Jaribu kuolewa manake kuoa unaonekana hutaki mzee baba kaza mtoto wa kiume manake sababu zako za kuachana nao hazina mashiko kabisa