Nimemuomba donati mke wangu ameninyima, naombeni Ushauri

Mke wangu kadai talaka kimya kimya sasa hivi kaolewa na Mwanaume mwingine!

Mimi ni baba wa mtoto mmoja, miaka 3 iliyopita nilifunga ndoa na mke wangu, kutokana na ujana baada ya miezi 3 tu niliichoka ile ndoa na kumrudisha Kwakweli sikuwa na sababu yoyote ila niliona kama ana kisirani sana na kuninyima donati yakee..yaani nilikua sina uhuru wa kufanya mambo yangu kama nilivyokua sijaoa, nikirudi nyumbani nimechelewa analalamika, nikitoka out shida, nikaona nimuache kwanza.

Nilimfukuza na sikujali kama anaishi wapi, kipindi anaondoka alikuwa na ujauzito, hivyo mpaka anajifungua hata sikukumbuka kumtafuta. Yeye alikuwa ananitafuta kila siku ila nilikuwa namjibu vibaya, namwambia ukipata mwanaume mwingine mpe huyo mtoto, mimi nilikosea kuoa. Ukweli ni kwamba sikuwa na mpango wa kumuacha moja kwa moja ila nilikuwa nikimuambia vile ili tu asinichoshe. Alinisumbua sana mpaka mwaka jana mwezi wa 6 ndipo aliacha kabisa kunitafuta, mpaka leo sijawahi kumuona mtoto wangu kwani nilikuwa sitaki kumuona, nikiamini kuwa nikimuona nikambeba hisia zinaweza kunifanya nirudiane na mama yake, na mimi sikutaka!

Basi, niliingia kwenye mahusiano mengine nikiamini kuwa yatanipa amani. Mwezi wa 9 nilianza kuishi na huyu mwanamke mwingine, hajui kama nilishawahi kuoa kwani anakuja kwangu ananiona naishi mwenyewe. Nilijitambulisha kwao ili akubali kuishi na mimi na ana ujauzito sasa anakaribia kujifungua.

Changamoto ni kwamba nimekuja kugundua kuwa wanawake wote ni wale wale, huyu naye nimemchoka kwani tangu kuanza kuishi naye kisirani chake ni kilekile kama cha ex wangu, hivyo kwa kuwa tayari ni ndoa ya kanisani nikaamua kurudi kwa mke wangu. Wiki iliyopita niliamua kumtafuta na kumuomba kumuona mtoto, alinijibu vizuri tofauti na nilivyotegemea, akanambia nikitaka kumuona mtoto ruksa, nikamuulizia anaishi wapi.

Akaniambia yuko hapa hapa Dar lakini sasa hivi yeye ni mke wa mtu hivyo siwezi kwenda kwake. Kwakweli nilishangaa kwani tuna ndoa ya kanisani, nilipomwambia kuwa wewe ni mke wangu, akanitumia nakala ya talaka ya mahakamani kumbe alifungua kesi ya talaka bila kunishirikisha, ikawa kama mimi nililetewa samansi na nikasaini lakini sikufika mahakamani, hivyo talaka ikatoka upande mmoja. Nilifuatilia mpaka mahakamani nikakuta kweli talaka ilitoka mwaka jana. Kwakweli nimechanganyikiwa. Hivi ni kweli mtu anaweza kupewa talaka bila mimi kuwepo? Nataka kurudiana na mke wangu, nimejikuta nina hasira naumia, nalia kila siku, yaani hata kazi nimeshindwa, sijui nafanya nini? Najua nilikosea lakini nimejirudi nataka kuishi na mwanangu nifanye nini ili kumrudisha?
Wewe ni bwege utakula ujinga wako
 
Tatizo la 1. Mwanamke akiwa na mimba huwa inamchanganya changanya kujibiwa vibaya na kununiwa Huwa ni kipindi muafaka sana muda huu 2. Umri wa walengwa ni tatzo sana kati Yako na mke wako hasa pale unapoishi kukiwa hauna ukaribu na watu wazima ni tatzo sana 3. Uwezo wa kupambanuwa jambo kati yenu ukiwa mdogo sana kama chaja ya Pini ndogo ni tatzo kubwa
 
Kwanza wew ni msumbufu, hao wanawake ni watoto wa watu usijisahaurishe, nawew utazaa.
Na wanawake wengne akiwa mjamzio anaweza akakupenda sana au akakuchukia sana.

Mwache ex wako aendelee na ndoa wew endelea na huyo ulie nae kwani nae si atakupa mtoto soon, kwan shida iko wapi?
Ex wako humuwez tena, ukirudiana nae hamtachukua round.
Na ukumbuke yule alie mwoa atajiskiaje?

NIMEMALIZA
 
Wekeza unapopendwa; JIulize swali, leo hii uko kitandani kwa miezi 6 hospitalini, ni nani atakuwa karibu na wewe? kuhusu watoto si tatiozo, sisi wengine tuna watoto 20 kila mmoja na mama yake.​
 
Mke wangu kadai talaka kimya kimya sasa hivi kaolewa na Mwanaume mwingine!

Mimi ni baba wa mtoto mmoja, miaka 3 iliyopita nilifunga ndoa na mke wangu, kutokana na ujana baada ya miezi 3 tu niliichoka ile ndoa na kumrudisha Kwakweli sikuwa na sababu yoyote ila niliona kama ana kisirani sana na kuninyima donati yakee..yaani nilikua sina uhuru wa kufanya mambo yangu kama nilivyokua sijaoa, nikirudi nyumbani nimechelewa analalamika, nikitoka out shida, nikaona nimuache kwanza.

Nilimfukuza na sikujali kama anaishi wapi, kipindi anaondoka alikuwa na ujauzito, hivyo mpaka anajifungua hata sikukumbuka kumtafuta. Yeye alikuwa ananitafuta kila siku ila nilikuwa namjibu vibaya, namwambia ukipata mwanaume mwingine mpe huyo mtoto, mimi nilikosea kuoa. Ukweli ni kwamba sikuwa na mpango wa kumuacha moja kwa moja ila nilikuwa nikimuambia vile ili tu asinichoshe. Alinisumbua sana mpaka mwaka jana mwezi wa 6 ndipo aliacha kabisa kunitafuta, mpaka leo sijawahi kumuona mtoto wangu kwani nilikuwa sitaki kumuona, nikiamini kuwa nikimuona nikambeba hisia zinaweza kunifanya nirudiane na mama yake, na mimi sikutaka!

Basi, niliingia kwenye mahusiano mengine nikiamini kuwa yatanipa amani. Mwezi wa 9 nilianza kuishi na huyu mwanamke mwingine, hajui kama nilishawahi kuoa kwani anakuja kwangu ananiona naishi mwenyewe. Nilijitambulisha kwao ili akubali kuishi na mimi na ana ujauzito sasa anakaribia kujifungua.

Changamoto ni kwamba nimekuja kugundua kuwa wanawake wote ni wale wale, huyu naye nimemchoka kwani tangu kuanza kuishi naye kisirani chake ni kilekile kama cha ex wangu, hivyo kwa kuwa tayari ni ndoa ya kanisani nikaamua kurudi kwa mke wangu. Wiki iliyopita niliamua kumtafuta na kumuomba kumuona mtoto, alinijibu vizuri tofauti na nilivyotegemea, akanambia nikitaka kumuona mtoto ruksa, nikamuulizia anaishi wapi.

Akaniambia yuko hapa hapa Dar lakini sasa hivi yeye ni mke wa mtu hivyo siwezi kwenda kwake. Kwakweli nilishangaa kwani tuna ndoa ya kanisani, nilipomwambia kuwa wewe ni mke wangu, akanitumia nakala ya talaka ya mahakamani kumbe alifungua kesi ya talaka bila kunishirikisha, ikawa kama mimi nililetewa samansi na nikasaini lakini sikufika mahakamani, hivyo talaka ikatoka upande mmoja. Nilifuatilia mpaka mahakamani nikakuta kweli talaka ilitoka mwaka jana. Kwakweli nimechanganyikiwa. Hivi ni kweli mtu anaweza kupewa talaka bila mimi kuwepo? Nataka kurudiana na mke wangu, nimejikuta nina hasira naumia, nalia kila siku, yaani hata kazi nimeshindwa, sijui nafanya nini? Najua nilikosea lakini nimejirudi nataka kuishi na mwanangu nifanye nini ili kumrudisha?
Nenda kapime afya ya akili..heti nataka kurudiana na mke wangu!!!

Jamaa unachekesha....sasa mwenzio kashaolewa kwani wanawake wameisha? Kwamba hiyo dini yenu hata mkitengana kwa miaka saba ukitaka kumrudia mwenzio unamrudia tu au
 
Akae anakusubiri wewe tu we nani? Eti mke wangu bila huduma? Eti nimebadilika ulitaka aote kwamba baadae utabadilika? Ulitaka uhru endelea na uhuru wako, yaani uoe halafu uendelee kuwa free wapi na wapi? Ukioa ukiolewa Kuna vitu na baadhi ya uhuru vinakuwa vya kushea, oa huyo Mwanamke wa pili wa kwanza ameshaondoka si wako, na ujifunze.
 
Mke wangu kadai talaka kimya kimya sasa hivi kaolewa na Mwanaume mwingine!

Mimi ni baba wa mtoto mmoja, miaka 3 iliyopita nilifunga ndoa na mke wangu, kutokana na ujana baada ya miezi 3 tu niliichoka ile ndoa na kumrudisha Kwakweli sikuwa na sababu yoyote ila niliona kama ana kisirani sana na kuninyima donati yakee..yaani nilikua sina uhuru wa kufanya mambo yangu kama nilivyokua sijaoa, nikirudi nyumbani nimechelewa analalamika, nikitoka out shida, nikaona nimuache kwanza.

Nilimfukuza na sikujali kama anaishi wapi, kipindi anaondoka alikuwa na ujauzito, hivyo mpaka anajifungua hata sikukumbuka kumtafuta. Yeye alikuwa ananitafuta kila siku ila nilikuwa namjibu vibaya, namwambia ukipata mwanaume mwingine mpe huyo mtoto, mimi nilikosea kuoa. Ukweli ni kwamba sikuwa na mpango wa kumuacha moja kwa moja ila nilikuwa nikimuambia vile ili tu asinichoshe. Alinisumbua sana mpaka mwaka jana mwezi wa 6 ndipo aliacha kabisa kunitafuta, mpaka leo sijawahi kumuona mtoto wangu kwani nilikuwa sitaki kumuona, nikiamini kuwa nikimuona nikambeba hisia zinaweza kunifanya nirudiane na mama yake, na mimi sikutaka!

Basi, niliingia kwenye mahusiano mengine nikiamini kuwa yatanipa amani. Mwezi wa 9 nilianza kuishi na huyu mwanamke mwingine, hajui kama nilishawahi kuoa kwani anakuja kwangu ananiona naishi mwenyewe. Nilijitambulisha kwao ili akubali kuishi na mimi na ana ujauzito sasa anakaribia kujifungua.

Changamoto ni kwamba nimekuja kugundua kuwa wanawake wote ni wale wale, huyu naye nimemchoka kwani tangu kuanza kuishi naye kisirani chake ni kilekile kama cha ex wangu, hivyo kwa kuwa tayari ni ndoa ya kanisani nikaamua kurudi kwa mke wangu. Wiki iliyopita niliamua kumtafuta na kumuomba kumuona mtoto, alinijibu vizuri tofauti na nilivyotegemea, akanambia nikitaka kumuona mtoto ruksa, nikamuulizia anaishi wapi.

Akaniambia yuko hapa hapa Dar lakini sasa hivi yeye ni mke wa mtu hivyo siwezi kwenda kwake. Kwakweli nilishangaa kwani tuna ndoa ya kanisani, nilipomwambia kuwa wewe ni mke wangu, akanitumia nakala ya talaka ya mahakamani kumbe alifungua kesi ya talaka bila kunishirikisha, ikawa kama mimi nililetewa samansi na nikasaini lakini sikufika mahakamani, hivyo talaka ikatoka upande mmoja. Nilifuatilia mpaka mahakamani nikakuta kweli talaka ilitoka mwaka jana. Kwakweli nimechanganyikiwa. Hivi ni kweli mtu anaweza kupewa talaka bila mimi kuwepo? Nataka kurudiana na mke wangu, nimejikuta nina hasira naumia, nalia kila siku, yaani hata kazi nimeshindwa, sijui nafanya nini? Najua nilikosea lakini nimejirudi nataka kuishi na mwanangu nifanye nini ili kumrudisha?
Mwenetu pole sana kwa yaliyo kukuta ndio ukubwa huo. Ila mwamba bila kupepesa macho Maturity kwako ilikua bado sana kwenye angle ya mahusiano mpaka ndoa...
Kwa maelezo yako tu unaonekana bado waru waru sana huwezi mchoka mtoto wa kwa muda mchache that means " infatuation" ndio ilikua inakupelekesha.

Kuwa baba bora na Imara kwenye ndoa haitaki wanaume legelege nadhani unatakiwa ujifunze kwa hilo na ujirekebishe mzee otherwise utaona kila mwanamke ni umbwa au kisirani.

Jiangalie mzee na ubadili mfumo wako wa maisha utafanikiwa mbeleni. Kila la kheri baharia
 
Mke wangu kadai talaka kimya kimya sasa hivi kaolewa na Mwanaume mwingine!

Mimi ni baba wa mtoto mmoja, miaka 3 iliyopita nilifunga ndoa na mke wangu, kutokana na ujana baada ya miezi 3 tu niliichoka ile ndoa na kumrudisha Kwakweli sikuwa na sababu yoyote ila niliona kama ana kisirani sana na kuninyima donati yakee..yaani nilikua sina uhuru wa kufanya mambo yangu kama nilivyokua sijaoa, nikirudi nyumbani nimechelewa analalamika, nikitoka out shida, nikaona nimuache kwanza.

Nilimfukuza na sikujali kama anaishi wapi, kipindi anaondoka alikuwa na ujauzito, hivyo mpaka anajifungua hata sikukumbuka kumtafuta. Yeye alikuwa ananitafuta kila siku ila nilikuwa namjibu vibaya, namwambia ukipata mwanaume mwingine mpe huyo mtoto, mimi nilikosea kuoa. Ukweli ni kwamba sikuwa na mpango wa kumuacha moja kwa moja ila nilikuwa nikimuambia vile ili tu asinichoshe. Alinisumbua sana mpaka mwaka jana mwezi wa 6 ndipo aliacha kabisa kunitafuta, mpaka leo sijawahi kumuona mtoto wangu kwani nilikuwa sitaki kumuona, nikiamini kuwa nikimuona nikambeba hisia zinaweza kunifanya nirudiane na mama yake, na mimi sikutaka!

Basi, niliingia kwenye mahusiano mengine nikiamini kuwa yatanipa amani. Mwezi wa 9 nilianza kuishi na huyu mwanamke mwingine, hajui kama nilishawahi kuoa kwani anakuja kwangu ananiona naishi mwenyewe. Nilijitambulisha kwao ili akubali kuishi na mimi na ana ujauzito sasa anakaribia kujifungua.

Changamoto ni kwamba nimekuja kugundua kuwa wanawake wote ni wale wale, huyu naye nimemchoka kwani tangu kuanza kuishi naye kisirani chake ni kilekile kama cha ex wangu, hivyo kwa kuwa tayari ni ndoa ya kanisani nikaamua kurudi kwa mke wangu. Wiki iliyopita niliamua kumtafuta na kumuomba kumuona mtoto, alinijibu vizuri tofauti na nilivyotegemea, akanambia nikitaka kumuona mtoto ruksa, nikamuulizia anaishi wapi.

Akaniambia yuko hapa hapa Dar lakini sasa hivi yeye ni mke wa mtu hivyo siwezi kwenda kwake. Kwakweli nilishangaa kwani tuna ndoa ya kanisani, nilipomwambia kuwa wewe ni mke wangu, akanitumia nakala ya talaka ya mahakamani kumbe alifungua kesi ya talaka bila kunishirikisha, ikawa kama mimi nililetewa samansi na nikasaini lakini sikufika mahakamani, hivyo talaka ikatoka upande mmoja. Nilifuatilia mpaka mahakamani nikakuta kweli talaka ilitoka mwaka jana. Kwakweli nimechanganyikiwa. Hivi ni kweli mtu anaweza kupewa talaka bila mimi kuwepo? Nataka kurudiana na mke wangu, nimejikuta nina hasira naumia, nalia kila siku, yaani hata kazi nimeshindwa, sijui nafanya nini? Najua nilikosea lakini nimejirudi nataka kuishi na mwanangu nifanye nini ili kumrudisha?
Ndo uwe na adabu next time! Mwache binti wa watu bana
 
Nataka kurudiana na mke wangu, nimejikuta nina hasira naumia, nalia kila siku, yaani hata kazi nimeshindwa, sijui nafanya nini? Najua nilikosea lakini nimejirudi nataka kuishi na mwanangu nifanye nini ili kumrudisha?
Bado haujalewa mkuu ongeza kinywaji
 
Back
Top Bottom