Nimemuachia bill mchunaji

Hamna kitu kinacho nikera kama umemtoa out kwa mara ya kwanza ana agiza kuku 2 moja anasema Mama yake anapenda sana kuku so anamfungia!

Mara 3 imenitokea hii

pole sana umechunwa buree
 

bora kununua tu kumbe..
 
Hadi nimeona aibu Mwanaume unakimbia bill 29000 kweli???????

Hujamuelewa mtoa mada...ishu sio elfu 29 ishu ni tabia ya kubebana na wenzake wakati appointment ilikua yake alone

Halafu hutoi taarifa
 
mbona kama hayo mahesabu hayaji

Hahahahahhaa....umewaza kama mimi

Lakini tuchukulie ni uswahilini kimtindo

Kuku mmoja Tshs 10,000*2=20,000
Heinekein 2*3500=7,000

Total 27,000

Ila huyu naye kazidi...elfu 29,000 unakimbia...basi ato.m.be mbuzi
 
Hahahahahhaa....umewaza kama mimi

Lakini tuchukulie ni uswahilini kimtindo

Kuku mmoja Tshs 10,000*2=20,000
Heinekein 2*3500=7,000

Total 27,000

Ila huyu naye kazidi...elfu 29,000 unakimbia...basi ato.m.be mbuzi

akikamatwa na mbuzi haki za wanyama zitambana .... jamaa bahili sana
 
hahahahah this is too funny. Ila mkuu ungewalipia tu au we ulikuwa na bajeti gani kwa huo mtoko.
 

Chang'ombe ya dar au ya dodoma? Ni hatari, kuku mzima anamaliza!!
 
Mkuu,naomba video yako wakati unatoroka utuwekee hapa JF.Twaweza jifunza kitu.Nacheeeka ajabu!
 

pesa ilikuwa ya kutosha according to u sasa unakimbiaje 29elfu mkuu au me naona labda laki mbili na 29 afu swala la kubebea ***** ni la kawaida coz ukishakubali kuolewa ukubali kulala bila nguo yule mkweo kuku wa 10,000 kitu gani???????
 

spot on!,......Watu watamlaumu mtoa Mada na kumwita cheap, I don't think it's about money na hata kama inge kuwa ni pesa mtu unazo but unalipa unwillingly, haya mapenzi ya kibongo ya kwenda date sijui wanaita appointment na mtu mi huwa sielewi, unaendaje date na mtu?!!, hivyo si inatakuwa kuwa private?!!
Na kama issue ni kuogopa kubakwa/kuuwawa, why go in the first place?!, sa rafiki yako mwenye nguvu kama wewe ndo wakusaidia?!!
Si nenda na bodyguard basi tujue moja!
 




Hyo ndo maanake mkuu,,,,,wajulishe.
 
Hamna kitu kinacho nikera kama umemtoa out kwa mara ya kwanza ana agiza kuku 2 moja anasema Mama yake anapenda sana kuku so anamfungia!

Mara 3 imenitokea hii

Hahaaaaaa!,
 

hehehe!,........mkuu umemaliza
Labda mbeba vyuma.......lol!
 
Hahaha huu uzi ngoja nianzie mwanzo kabisaa ili nicheke uzuri. Ndo shida ya mapenzi ya mtandaoni hayo, mahali pekee pa kukutana ni bar. Hahaha
 
Chang'ombe huko inawezekana wanauza kuku mzima buku 6. Daslama ina mengi mkuu. Cha msingi elewa jamaa ni mjanja kakimbia bili hadi ya kwake mwenyewe. Alijua siku ya kwanza tu anachinja
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…