Nimemtongoza jana, leo anataka nimtumie hela

Nimemtongoza jana, leo anataka nimtumie hela

hii avartar kiboko
avatar63177_2.gif
du bowlibo sijui walioshiba wanawakumbuka wenye njaa?
Mleta Mada lengo lake ni kugegeda kwanza kabla mtu hajashiba

Nimeishia kucheka, ukishashiba Ukwaju mwambie Maboso akuonyeshe avatar yake nini kinafata
 
Last edited by a moderator:
Kinafuata hiki........ 😛eep:😛eep:😛eep:😛eep:😛eep:😛eep:
avatar126416_8.gif

Teh teh teh,

Kule kwenye jukwaa la siasa hii avatar yako inanipotezea point ninazotaka kupost. Kila nikiiona naishia kucheka sana

cc Ukwaju
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaha nasikia njaa nishakutana nao sana hao,.. Unamtongoza kakataa lakn anaomba hela

na hao wanakutafutaga wakiwa na njaa tuu... sasa una wonder, are you world food programme?
 
Utaona msg..nikwambie kitu?hutachukia??

kuna mwingine kabla ya huyu nilimtongoza akatick baada ya kunizungusha mda mrefu, alikuwa hajawahi kuniomba hela zaidi ya mimi mwenyewe kujiongeza kumsaidia pale nnapoona inafaa kufanya hivyo (nikaona hapa nimepata kweli, hayupo kwangu kwa ajili ya pesa tu), siku moja tulitoka out nikaspend naye sana, tukaagana wote tukiwa fiti, kesho yake asubuhi akanibipu nikampigia, alionyesha mwenye furaha kuliko siku zote, akasema anaenjoy sana kuwa na mimi na ananishukuru sana kwa kumcare, nilifurahi sana kusikia maneno hayo kutoka kwake, but usiku akaja na story nyingine kabisa, tulianza kuchat conversation yetu ikawa hivi;

Demu: My dear, you know what i have very big problem

Mimi: Pole, tatizo gani?

Demu: Tatizo kubwa sana, it needs money n' your prayers to solve it

Mimi: (niliogopa kuhoji kwamba anahitaji sh. ngapi kulisolve, maana nilihisi anataka 'big money' na kipindi hicho sikuwa vizuri kiukweli) nikaanza kujitetea pale kwamba sahivi siko vizuri na blah blah kibao.

Demu: so sijui itakuwaje maana ni wewe tu ndio msaada wangu, but if i die i promice i'll never forget u

Mimi: Oh don't say that dear unaniogopesha, by the way what's your problem?

Demu: I'll tell u nikifanikiwa kusolve

Mimi: Okey

Demu: Kimya...!!!

(Kuanzia hapo hataki tena mawasiliano na mimi, na sijawahi kusikia kama ana tatizo lolote)
 
Sawa bladha, tokea thread hii nimeweka hadi leo kanikomba kama laki na sabini hivi halafu hapo hata mzigo hajanipa ananipiga kalenda tu

we ujui mapenz nayo tuna bet
 
Mapenzi kamali tia hela ni lazima ujanja ndo unafuata kula mzigo ndo agenda muhimu isiyocheleweshwa,

ungekuwa mvumilivu ungekuwa umesha gegeda saiv huna presha yeye ndo angekuwa analialia we unaamua na kucontrol what to do n' what not
 
Kama kakwambia anasikia njaa mwambie aongezee saut msikii wot maan unampend na pia uko mbal
 
Hahahhaahhahaahah akiwa direct sana huwez chomoa yaani hapo hata akil haihusu - Ila wadada ishi nao kama watoto mbona simple kama uko na katoto vile - Hakuna manzi ambae sio wife material ni yeye tu akubal toka moyoni - Mpe af next time mwoneshe jinsi yakumake ili asibom tena - Ila piga uwa hawa viumbe bwana hela lazima utoe yani hamna jinsi
 
Sometimes wife material wanatengenezwa after marriage...
so kamaumempenda kweli muoe halafu anza kumpa dos and donts...

but kama ana njaa na hana pa kula....alikuwa anaishi vipi before you?
na waliokuwa wanamsaidia njaa yake aliwalipa nini?

Nakupenda buree kabisa yaani.
Jioni njema mkuu.
 
Kuna msichana niliwahi kuonana nae mara1 ni rafiki wa dadaangu, tulionana nilipoenda kumtembelea sista nikahisi kumpenda, jumapili kulikuwa na event ya kifamilia nikaonana naye, safari hii nikawa siriaz kumbana nimsomeshe hadi kieleweke.

Bahati nzuri tulipotoka kwenye event tulisafiri pamoja nikakaa naye kwenye siti zinazofatana, nilimtongoza though hakunipa jibu la moja kwa moja kunikubalia but alikuwa anaonyesha kuelekea kukubali, nilimwomba namba yake akanipa. Kesho yake ambayo ni jana akanichokoza kupitia msg, akanisalimia nami nikarespond.

Si nikahisi mtoto kashakolea, ile nataka nianze kumchokoza anipe jibu langu mara akatuma meseji 'Nasikia njaa', duh ile kuendelea kuchat nikagundua anamaanisha nimtumie hela. Eti ndugu wananchi, huyu ni wife material kweli au najiingiza kwenye majanga? Maana mtu mwenyewe hela za kuokoteza.

Kwani wewe ulijipanga uanze kumtumia pesa baada ya muda gani? Kwa taarifa yako wengine huwa wanaanza kurusha pesa baada ya dk 10 tu after mtongozano kiutu uzima
 
Si nikahisi mtoto kashakolea, ile nataka nianze kumchokoza anipe jibu langu mara akatuma meseji 'Nasikia njaa', duh ile kuendelea kuchat nikagundua anamaanisha nimtumie hela. Eti ndugu wananchi, huyu ni wife material kweli au najiingiza kwenye majanga? Maana mtu mwenyewe hela za kuokoteza.


Wewe kwanza ulihisi hukuambiwa kwa hio ulijishuku na kujishtukia
pili wewe ulikua unatafuta kitundu cha kujisaia sio wife nani kakuambia wife anatafutwa hivyo?
​


 
Kwani kusema nasikia njaa manake nipe hela eeh? hii ndio style mpya yakuomba hela?
au unataka kujipendekeza kuanza kumpaa hela eeh?
Aah sasa ana maana gani au alimaanisha njaa ya chini?Hili ni kosa kubwa sana kwa wanaAKE.Mi ukiniletea invoice siku za mwanzoni ndo kabisaa nang`oa hata nyasi.
 
Back
Top Bottom