Nimemtongoza jana, leo anataka nimtumie hela

Hakutaki ni njia yakukutuliza uache kumsumbua, maana wanaume wengine ving'ang'anizi sana.
Wachache wanaielewaga hii njia ya kufukuzwa anakuona una dhiki kumbe ndo kifagio ulichotumia kumuondoa katika ulimwengu wako..!
 
Kuna msichana niliwahi kuonana nae mara1 ni rafiki wa dadaangu, tulionana nilipoenda kumtembelea sista nikahisi kumpenda, jumapili kulikuwa na event ya kifamilia nikaonana naye, safari hii nikawa siriaz kumbana nimsomeshe hadi kieleweke.

Bahati nzuri tulipotoka kwenye event tulisafiri pamoja nikakaa naye kwenye siti zinazofatana, nilimtongoza though hakunipa jibu la moja kwa moja kunikubalia but alikuwa anaonyesha kuelekea kukubali, nilimwomba namba yake akanipa. Kesho yake ambayo ni jana akanichokoza kupitia msg, akanisalimia nami nikarespond.

Si nikahisi mtoto kashakolea, ile nataka nianze kumchokoza anipe jibu langu mara akatuma meseji 'Nasikia njaa', duh ile kuendelea kuchat nikagundua anamaanisha nimtumie hela. Eti ndugu wananchi, huyu ni wife material kweli au najiingiza kwenye majanga? Maana mtu mwenyewe hela za kuokoteza.
Mtaka cha uvunguni ............na mkono hujikuna unapojifikia. Kazi ni kwako.
 
Wachache wanaielewaga hii njia ya kufukuzwa anakuona una dhiki kumbe ndo kifagio ulichotumia kumuondoa katika ulimwengu wako..!

Ndio hivyo my, binafsi nipo hivo kama mtu ananipigia makelele masikioni mwangu namweleza haelewi, ninachofanya namuomba hela tena sio 50000 naanza na 200000, akijifanya haelewi kila neno lake moja mimi nalisindikiza na kuomba hela, tena namwambia kabisa wewe huwezi kunihudumia kama unaweza anza sasa hivi nipe 2000000 niende salon, atachoka mwenyewe mwisho wa siku atakuwa mpole.
 
Haya maneno yako yamecrack my ribs. Anyway mie huwa nashangaa sana mdada kuomba pesa kwa mpenzi wake.

Sijui mimi ni old fashion, naweza kuwa na shida ila kamwe siombi pesa kwa mwanaume. Nafuu hata niombe kwa ndugu yangu.

Sio kwamba wewe ni wakizamani na Pia sio vibaya kumwomba mwanaume pesa kama una shida ila kuna namna ya kuomba, mmetongozana leo halafu asubuhi na mapema unaanza mizinga. Dah ! kiukweli hapo bora niitwe bahili tu ila sikupi hata sent, wapo ambao hata kama ana shida na mmezoeana anaona aibu kuomba hela kwako, sasa hapa mwanaume unatakiwa uwe mjanja kumsoma mpenzio. Kuna vitu lazima umsaidie either kumpatia pesa au kumnunulia vitu na kumpatia kama zawadi, sio kwamba nasubiri kuombwa ila ni jukumu langu kumsaidia mpenzi wangu. Wenzangu na mimi wa kusingizia ugonjwa, misiba fungueni danguro kama wenzenu wa buguruni, manzese, mbagala, kijitonyama, kinondoni na n.k
 
Ndio hivyo my, binafsi nipo hivo kama mtu ananipigia makelele masikioni mwangu namweleza haelewi, ninachofanya namuomba hela tena sio 50000 naanza na 200000, akijifanya haelewi kila neno lake moja mimi nalisindikiza na kuomba hela, tena namwambia kabisa wewe huwezi kunihudumia kama unaweza anza sasa hivi nipe 2000000 niende salon, atachoka mwenyewe mwisho wa siku atakuwa mpole.

Labda kama ana shida ya kukuoa ndiyo atasumbuka, ila kama mimi ninayetaka mgegedo tu kwako haina shida tena nitafurahi sana, laki 2 hupati na papuchi unaliwa effectively, unavyoumiza akili ya kuniondoa kwenye imaya yako pia na mimi naumiza akili ya kupata papuchi yako. Papuchi zenyewe za siku hizi zinavyokifu mapema najua mgegedo wa siku moja sitamani tena kurudia mara ya pili, ukizidi kuniomba laki 2 ndiyo unanipa njia ya kutafuta type nyingine ya papuchi
 
Unakutana na wajinga wajinga aisee, kwanza hiyo nafasi yakuonana na mimi unaitoa wapi?????? hata ukibahatika kuonana na mimi lazima ukae kisha uombe ruhusa ya kwenda bank. usijaribu visivyojaribika. Ninaposema 2000000 simaanishi sina ila nakukomoa tu. zaidi ukiona hivyo jua niko expensive hata namna yakuniona huipati zaidi utaishia kupoteza vocha zako tu hadi utajiona mjinga,
 
Hahahahahah !, Hakuna kitu kama hicho labda usiwe binadamu wa kawaida. Watu tunajua saikolojia bhana wewe mbona unapatikani kirahisi tu. Expensive yako ni kwa hao madomo zege wako unaojiokotea ndiyo wanaokupaisha halafu wanaishia kukuchafua sekunde 5 wamemaliza kesho hamu zinawajia tena wanakutafuta kwa hizo hela, hapa utakaa tu taka usitake halafu unaachwa kinamna flani hivi mpaka utajiona wewe si lolote wala chochote kwa watoto wa mujini. Expensive kwangu ni yule bikra ila sio wewe kizazi kimekulegea halafu unasema expensive
 
Bikra ya wapi??????? we chizi kweli tangu umeanza ku do umekutana na bikra ngapi na za wapi????????? bado mtoto mdogo wewe bila shaka hata matumizi unategemea kwa shemeji ndio maana akili haijakukaa sawa, wewe na uvulana wako unaojiona rijali huwezi simama hata sekunde mbili ukajifananisha na mimi kwa kipato, achilia mbali nikwambie mlete demu wako ambaye yupo under 23 mje umfananishe na mimi ambaye nina mtoto wa 4yrs hakika demu wako ataomba poo kwangu, atajiona ajuza, watu tumetunukiwa bro.

Hahahahaha acha nicheke mie
 
Hahahahaha acha nicheke mie[/QUOTE
Duh !, ila mie sio chizi mkuu nitake radhi si unajua mkuu wa kaya ameshasaini muswada wa makosa ya kimtandao ?, ukianza matusi utaishia segerea na hili nikutoe itabidi unipe papuchi kwanza.
 
Kuna msichana niliwahi kuonana nae mara1 ni rafiki wa dadaangu, tulionana nilipoenda kumtembelea sista nikahisi kumpenda, jumapili kulikuwa na event ya kifamilia nikaonana naye, safari hii nikawa siriaz kumbana nimsomeshe hadi kieleweke.

Bahati nzuri tulipotoka kwenye event tulisafiri pamoja nikakaa naye kwenye siti zinazofatana, nilimtongoza though hakunipa jibu la moja kwa moja kunikubalia but alikuwa anaonyesha kuelekea kukubali, nilimwomba namba yake akanipa. Kesho yake ambayo ni jana akanichokoza kupitia msg, akanisalimia nami nikarespond.

Si nikahisi mtoto kashakolea, ile nataka nianze kumchokoza anipe jibu langu mara akatuma meseji 'Nasikia njaa', duh ile kuendelea kuchat nikagundua anamaanisha nimtumie hela. Eti ndugu wananchi, huyu ni wife material kweli au najiingiza kwenye majanga? Maana mtu mwenyewe hela za kuokoteza.

mkuu, huyo sio mwanamke wa kumuoa hata kidogo. mpige kende uchukue 50 zako.
 
Last edited by a moderator:
Bikra ya wapi??????? we chizi kweli tangu umeanza ku do umekutana na bikra ngapi na za wapi????????? bado mtoto mdogo wewe bila shaka hata matumizi unategemea kwa shemeji ndio maana akili haijakukaa sawa, wewe na uvulana wako unaojiona rijali huwezi simama hata sekunde mbili ukajifananisha na mimi kwa kipato, achilia mbali nikwambie mlete demu wako ambaye yupo under 23 mje umfananishe na mimi ambaye nina mtoto wa 4yrs hakika demu wako ataomba poo kwangu, atajiona ajuza, watu tumetunukiwa bro.

Hahahahaha acha nicheke mie

Huna lolote na madawa yako ya kichina hayo kukuza makalio, sasa bikra inahusu vp na kipato au kukaa kwa shemeji ?, mie nimekwambia kuwa mwanamke expensive kwangu ni yule bikra, siangalia ulivyojijaza mamekapu usoni na mawigi yanayotokana na vu*z*i za wazungu huku umebana boobs kwa sidilia ku-uplift mpaka unaumia. Kitu bikra utamu wake tunaujua sisi wenye dushelele.
 
Team vibamia mnajishaua sana, maneno mengi kumbe chafya moja tu inakurusha kuleeeeeeeeeeeee
Mimi sitaki kubishana tena na wewe, kuna watu nawaheshimu sana, maana unakoenda utanikera sasa, kajenge taifa basi
 
dah !, poa poa mkuu nikutakie majukumu mema pia ngoja niendelee kupiga mzigo hapa, ila usipanic sana mummie ni jokes tu kama za simb na yanga
 
Njaa kitu cha kawaida, Ndo mtihani unaotakiwa uushinde kwanza kabla ya yote, kwani unataka ule bila kuliwa?
hii avartar kiboko
avatar63177_2.gif
du bowlibo sijui walioshiba wanawakumbuka wenye njaa?
Mleta Mada lengo lake ni kugegeda kwanza kabla mtu hajashiba
 
Back
Top Bottom