Nimemtongoza jana, leo anataka nimtumie hela

Nimemtongoza jana, leo anataka nimtumie hela

Mambo mengine sijui yanawaumiza vipi kichwa. Ulitaka akujibu huku anasikia njaa? Akikujibu vibaya pengine akakuita chips kuku ungefurahi??
Mdada keshaungua kwako huyooo, anaogopa kukuambia anataka aje home. Kasikia njaa kweli, anangojea umwambie hata weye hujainjika ugali, mkaribishe, umchemshie mchicha wa kiume ale. Haondoki tena kwako
 
Nilianza na tongozo kakataa then nimempotezea mudaa karudi kuchat kdgo tu ansema maisha magumu ooh cmu mbovu

Ndo amerudi kukwambia yuko tayari itabidi umsaidie in exchange...
hukuelewa nini?
 
Ha ha ha ha kwake anaona umekuja muda muafaka akili kichwani kwako sasa
 
kende

Mwambie aje kula kwako kisha akishiba unagonga, hakikisha unapoga mzigo mpaka anaondoka tena na njaa yake!
 
Last edited by a moderator:
Huenda alimaanisha njaa nyingine na sio hiyo ya kwenu. Angemuuliza unaumwa njaa gani babe saa hizi tena? Njoo basi wangu..... Huenda hakulala akiwaza mavituz....ndio njaa yenyewe, ile kitu inamkula mwenzie. Kagundua kumbe wewe ni chakula yake sio lazima hela ila wewe ni kila kitu kwake bana.
 
kende

Nimeishia kuhema tu. siku hizi napata shida kutofautisha kati ya dada poa na hawa ma GIRL FRIENDS kwasababu mwisho wa siku wote wanataka PESA.
 
Last edited by a moderator:
Siku nyingine uhakikishe we ndio unakua wa kwanza kupiga mzinga kama unataka kujua ni wife material..
 
sasa ela ya chips tu unakuja kubwabwaja umeombwa ela je angekuomba ya salon
 
ungemwambia aje home full misos ukasikia anasemaje.
huyo yuk6 kipesa zaidi
 
Let us be sincere, huwa sipendi kuwa biased.... Sema ukweli toka moyoni mwako, ni kweli ulitaka uwe na future nae? Pili, Kama ni kweli, unafikiri hilo la njaa tu linaweza kuwa sababu tosha ya kum-disqualify kuwa sio material wife/Wife material- (whatever comes first)?

Tatu, ulishindwa kumtumia buku hata tano tu? as if unampa mtu mwingine yoyote au ukajifanya umeiangusha au umetoa sadaka na kuona outcome yake?

Nne, Je kama ungemuomba mambo, na akakukubalia the same day kama alivykupiga "mzinga the same day" je hii ingetosha kuwa Material Wife?

Nikushauri, unapomu-approach mwanamke, lazima uwe na vigezo au kwa sisi Wanunuzi tunasema Lazima uwe na Specifications!

Sina muda lakini ningeongea na wewe kwa kirefu kidogo na ungejua kuwa umefanya kosa kukimbilia kumuanzishia mtu thread...... Tutaongea next time ila kama ni hivyo Mpwa, utapoteza wengi.


Bado sijamdisqualify, but amenipa wasiwasi ndo maana nikashare na wadau, kama unavyoona comments inaonesha sio pekeyangu niliyekutana na wanawake wa namna hiyo, kutongoza leo kesho unapigwa mzinga inastua kwakweli
 
sasa ela ya chips tu unakuja kubwabwaja umeombwa ela je angekuomba ya salon

swala sio kiwango cha pesa, hata angeniomba jero tu bado ningekuwa na wasiwasi nae. Yaani unatongoza leo hata hamjaconfirm vizuri uhusiano wenu kashaanza kulia njaa?
 
Hata wewe unaonekana siyo "Husband material" kwa kushtuka kwenye kitu kidogo sana kama hicho. Siyo saizi yako huyo, waachie wenye uwezo wao wajilie. Kuambiwa anasikia njaa tu ushaanza kumuhisi tofauti, je akija kukuambia ana mimba.
 
Bado sijamdisqualify, but amenipa wasiwasi ndo maana nikashare na wadau, kama unavyoona comments inaonesha sio pekeyangu niliyekutana na wanawake wa namna hiyo, kutongoza leo kesho unapigwa mzinga inastua kwakweli
Sawa lakini wewe ni wewe, usijiweke kwenye kundi la wengine, you are unique and you need to show that......usiishi kwasababu ya wengine wanasema hivi.
 
Nimeishia kuhema tu. siku hizi napata shida kutofautisha kati ya dada poa na hawa ma GIRL FRIENDS kwasababu mwisho wa siku wote wanataka PESA.

Kwa mwendo huu wanaume tuna kazi ya ziada kutafuta pesa, la sivyo nikuchapiwa deile
 
Back
Top Bottom