Nimemtafutia kazi bar mke wangu!

Nimemtafutia kazi bar mke wangu!

Mkuu hapo ishu siyo kuuza bar je ni muaminifu kiasi gani? Mbona kuna mabarmaid wengi tuu wanajitambua na hawashikwi shikwi ovyo wala kupigwa mashine ovyo.
Mimi katika kulewa kwangu kipindi kile Heineken na sasa hivi balimi nimekutana na mabarmaid kibao ambao wanajitambua. Wangapi humu wameoa macashier wa benki tukienda tuu kudeposit milioni kumi akikuangalizia Salio akikuta balance inafika 100m anaomba namba ya simu mwenyewe na jioni hiyo hiyo unaenda kupiga? The point siyo aina ya kazi Bali aina ya mwanamke ulienae
Nakutakia mafanikio mema mkuu wewe na Shemeji yangu.
Umenena sana mkuu
 
TATIZO LA KAZI YA BAR NJ KWAMBA MFANYAKAZI NI LAZIMA AWE ANATONGOZWA KILA SIKU NA KULA ELA ZA WANAUME NA KULIWA NI LAZIMA.
 
Habarini,

Nimeoa na nina mtoto mmoja! Tunapendana sana na mke wangu! Nampenda nami naamini ananipenda.... Mimi nafanya kazi fulani hapa mjini inayo tuingizia kipato mm na mke wangu na kuweza kulea mtoto wetu! Kwa mapenzi nilio nayo kwa mke wangu nimeamua asikaee tuu nyumbani idol nimeamua nimtafitie kazi ya kufanya ambayo ni kupeleka vinywaji kwa wateja! Katiba BAR fulani maarufu hapa Dar ipo maeneo ya sinza!

mke wangu amekubari kwa mikono miwili na kwa moyo mweupe kufanya hiyo kazi! kila ikifika sa 12 jioni wakati mimi ninarudi toka kazini yeye ndio huwa anatoka kwenda kazini hadi sa 9 usiku muda mwingine sa 11 ndio hurudi nyumbani kutoka kazini! Maisha ya Magufuli yamekuwa magumu sanaa nashukuru Mungu anacho pata mke wangu si haba tukichanganya na changu basi machango mdogo wa mama Unaonekana na Maisha yanaenda! Mimi mara nyingi hutumia mda wangu kumsisitizia mke wangu na kumuelemisha umuhimu wa kazi na uzuri wa kufanya kazi kwa Juhudi na weledi! kubwa zaidi huwa namsisitizia mke wangu kuheshimu kazi yake! Aheshimu kazi kama anavyo niheshimu mimi

Nina imani Mungu atatusaidia katika maisha yetu nasi siku tutakuwa watu katika watu! Nawasihi wanaume wenzangu msichague kazi na wadada acheni kuchagua kazi! kikubwa ni kujitambua

Ngoja nimjulie hali mke wangu anaendeleaje na kazi nitarudi tena.......

Maendeleo hayana chama 😂 😂 😂 😂
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom