Nimemtafutia kazi bar mke wangu!

Nimemtafutia kazi bar mke wangu!

Habarini,

Nimeoa na nina mtoto mmoja! Tunapendana sana na mke wangu! Nampenda nami naamini ananipenda.... Mimi nafanya kazi fulani hapa mjini inayo tuingizia kipato mm na mke wangu na kuweza kulea mtoto wetu! Kwa mapenzi nilio nayo kwa mke wangu nimeamua asikaee tuu nyumbani idol nimeamua nimtafitie kazi ya kufanya ambayo ni kupeleka vinywaji kwa wateja! Katiba BAR fulani maarufu hapa Dar ipo maeneo ya sinza!

mke wangu amekubari kwa mikono miwili na kwa moyo mweupe kufanya hiyo kazi! kila ikifika sa 12 jioni wakati mimi ninarudi toka kazini yeye ndio huwa anatoka kwenda kazini hadi sa 9 usiku muda mwingine sa 11 ndio hurudi nyumbani kutoka kazini! Maisha ya Magufuli yamekuwa magumu sanaa nashukuru Mungu anacho pata mke wangu si haba tukichanganya na changu basi machango mdogo wa mama Unaonekana na Maisha yanaenda! Mimi mara nyingi hutumia mda wangu kumsisitizia mke wangu na kumuelemisha umuhimu wa kazi na uzuri wa kufanya kazi kwa Juhudi na weledi! kubwa zaidi huwa namsisitizia mke wangu kuheshimu kazi yake! Aheshimu kazi kama anavyo niheshimu mimi

Nina imani Mungu atatusaidia katika maisha yetu nasi siku tutakuwa watu katika watu! Nawasihi wanaume wenzangu msichague kazi na wadada acheni kuchagua kazi! kikubwa ni kujitambua

Ngoja nimjulie hali mke wangu anaendeleaje na kazi nitarudi tena.......
Duh, umekubali mkeo kushikwa shikwa maeneo nyeti na walevi na mida fulani kuwapa huduma za ziada??
Kamwe siwezi ruhusu!!
 
Maisha kusaidiana ..umefanya vyema kumtafutia kazi mkeo ili aweze kukusaidia
 
Mkuu ni pm yake maana siku nyingi sijahudhumiwa na shemeji
 
Hahahahahaha

Jf kuna mambo sana


Mm naishi sinza mkuu nitajie hiyo bar shemeji akanipe huduma
 
Hahahahaha mkuu katika watu wenye roho ngumu basi nawe unaweza kushiriki.
 
Mmmh mkuu hongera mungu kakujaalia moyo wa chuma tena chuma haswaaa loooo!!
Kazi ya bar... tena ni mkeo sio kimada !!... hakika unastahili kupatiwa tuzo ya ujasiri moyo
 
Dah Nina usingizi sana Paka nimeerewa vibaya icho kichwa cha habari.nimemtafutia kazi baba mke wangu.. Usikumwema jamani
 
Danya wewe ni mtunzi mzur sana,
Umeilenga hadhira iliyo ndani ya utawala wa kidikteta.
Poleni huko kwenu.
 
Vipi huduma kwenye KIJALUBA unapata....vp unakionaje ???
 
mimi sijaona tatizo hadi sasa tangia apate kazi kikubwa kujiheshimu
 
Mkuu mwandiko wako inaonyesha umeandika ki2 ambacho hakina uhalisia...enewey,kazi ni kazi.
 
Kama mambo yanaendelea vizuri na anarudi saa 11 asubuhi!!!
Naamini baada ya miezi 9 utakuja na mrejesho mzuri kwenye jamvi letu pendwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom