Nimemtafuna mke wake...!

Kwa nini nasema hivyo? Kwa sababu, kwa mfano, mke wa mtu akichepuka tu mara moja moja kwa mtindo wa NSA, huko si kuwa na mahusiano ya zaidi ya mtu mmoja. Mahusiano ni zaidi ya screwing. Kuna date nights, hot dates, you name it.

Halafu, mahusiano nayo kwani ni lazima yahusishe mboli na kipapa tu? Je watu wakiwa wana flex huko kwenye ma Instagram, au kuambiana wanapendana huku JF pasipo waume, wake, au wenza wao kujua, hiyo inakubalika katika hali ya kawaida?.

Am glad you are well.

On one: Ni ngumu kuonyesha kuwa yule pale for tupo katika mazingira tofauti, watu tunaowafahamu in real life wote kwa pamoja ni wachache mno. Na the problem lies in the fact kuwa hili suala halipo set kuwa huyu anaweza kufanya na huyu hawezi kufanya, ila tu kuna ile huyu anaonyeshwa kwa kiasi kikubwa msimamo wake upo hivi na yule vile...

Likija suala la kuchepuka... Kuchepuka ni kuchepuka tu no matter ni kwa style ipi. Nakubaliana na wewe on the issue ya mahusiano kuwa na mipaka. Kwa kutumia mfano uliotumia; Ikiwa mtu hapa JF anasema anapenda mtu kwa utani then ili ijulikane kweli ni utani ni awe huru mpenzi/mwenza wake ajue utani huo OR else labda hana mpenzi/mwenza, nje ya hapo ni tatizo for inajenga misingi ya cheating na hivyo kupunguza uaminifu.

BTW Ngabu, nothing is that easy. You just try your level best and hope for the best.
 
Nachoelewa kwa uelewa wangu mdogo ni kwamba utakolea kwa huyo mwanamke wa mtu!
"wasiwasi wangu"
we umekula mke wake lakin iko siku we ndo utakaeliwa!
 
We kiboko ngekua mimi ngemtafuta dada zako wakwanza had wamwisho 4 4 2 wangekusimulia. Mke wa mtu sumu dogo
 
Du kuvua shemeji.we sema ukwel tu ulikua unamtamani tangu zamani ngon huanzia ktk akili na si moyo dogo
 
Kwa fitina na taarifa potofu anazotoa juu yangu, nami ni rafiki yake muda mrefu na tuko wote kampuni moja,kila nikimtaka tukae tujadili kuhusu mambo anayonizushia huku akisahau tulikotoka. Huku amesahau mimi ndiye msuruhishi mkuu wa ndoa yake ambayo mara zote yeye ndiye mkorofi. Nikaona dawa ni kukubali nafasi nilipewa na shemeji wangu muda mrefu , niliikataa kwa kuheshimu mahusiano yetu, ndugu yangu utanisamehe sana.
Mwanaume anaelala na Mke au mpenzi wa mtu na kujitangaza, huwa ana mapungufu yanayomfanya ajione hajakamilika na kwa kulala na mwanamke wa mtu mwingine, anajisikia kupata ukamilifu. Kinachokusumbua ni kutojiamini, hata kama alikutaka, huwezi kushare mwanamke na rafiki yako, ni kichefuchefu! Wanawake walivyo wengi usumbuke na mwanamke aliewekwa ndani na rafiki yako?
Kwangu labda nisijue au tuwe tumelewa, ni ujinga sana kulala na mke wa rafiki yako, wote mnaonekana hamna akili!
 
Na kondom ulikumbuka? mtakufa wote na mkeo na michepko yako. Mshahara wa dhambi.....
 
Pengine hapendi kukutana na wewe kufanya suluhu kwa kuwa naye
anamla mkeo, pole sana.
 
Kuna uzi ulishakuwpo unauliza umejifunza nn ktk maisha...nilikoment nimejifunza kuwa na subira ktkt maamuzi. Mkuu najua una stress na hasira, nakushauri hiki s kipind kizuri cha kufanya maamuz,, take a pause and reflect, give it sometime... ukifanya hivyo ulivyosema utafanya utakuwa umechemka,, na lazima utalipa gharama yake...
 
kwa fitina na taarifa potofu anazotoa juu yangu, nami ni rafiki yake muda mrefu na tuko wote kampuni moja,kila nikimtaka tukae tujadili kuhusu mambo anayonizushia huku akisahau tulikotoka.

Huku amesahau mimi ndiye msuruhishi mkuu wa ndoa yake ambayo mara zote yeye ndiye mkorofi.

Nikaona dawa ni kukubali nafasi nilipewa na shemeji wangu muda mrefu , niliikataa kwa kuheshimu mahusiano yetu, ndugu yangu utanisamehe sana.

fungu la kukosa
 
Kwa fitina na taarifa potofu anazotoa juu yangu, nami ni rafiki yake muda mrefu na tuko wote kampuni moja,kila nikimtaka tukae tujadili kuhusu mambo anayonizushia huku akisahau tulikotoka.

FALAAAAAAA....UZINIFU TUUU UMEUENDEKEZA..MUONEEEE UNAONA UMEONGEA JAMBO LA MAANA !!!
Ntafutahi kweli ukiwa umetoka na tope
 
sinafungu hivi wewe hujajua bado kuwa huyo rafiki yako ni member wa jf na amekusoma vizuri sana na anajua kwamba unamla mke wake. Usalama wako uko wapi sasa.
 
Last edited by a moderator:
Kwa fitina na taarifa potofu anazotoa juu yangu, nami ni rafiki yake muda mrefu na tuko wote kampuni moja,kila nikimtaka tukae tujadili kuhusu mambo anayonizushia huku akisahau tulikotoka.

Huku amesahau mimi ndiye msuruhishi mkuu wa ndoa yake ambayo mara zote yeye ndiye mkorofi.

Nikaona dawa ni kukubali nafasi nilipewa na shemeji wangu muda mrefu , niliikataa kwa kuheshimu mahusiano yetu, ndugu yangu utanisamehe sana.
wewe=shetani
 
Mwanaume anaelala na Mke au mpenzi wa mtu na kujitangaza, huwa ana mapungufu yanayomfanya ajione hajakamilika na kwa kulala na mwanamke wa mtu mwingine, anajisikia kupata ukamilifu. Kinachokusumbua ni kutojiamini, hata kama alikutaka, huwezi kushare mwanamke na rafiki yako, ni kichefuchefu! Wanawake walivyo wengi usumbuke na mwanamke aliewekwa ndani na rafiki yako?
Kwangu labda nisijue au tuwe tumelewa, ni ujinga sana kulala na mke wa rafiki yako, wote mnaonekana hamna akili!

pia wewe unahtaji msaada, alichofanya siyo sawa na unachodhani pia sio sawa
 
Back
Top Bottom