Nimemtafuna mke wake...!

sinafungu, ni kwa nini u rule out kuwa wewe siye mkosaji kwa yale ambayo yametokea na kusababisha mshindwe kuonana kama matakwa yenu?

Kitendo cha wewe kutumia upenyu ulikuwa nao kulala na mkewe inatoa picha hata katika shughuli na hali ya kawaida wewe si wa kuaminika. Pengine anakukwepa kwa tabia zako fulani ambazo kwake hazimfurahishi, na pengine haya yote unayosema umemsaidia si wewe peke yako; kuna wengine wamefanya zaidi yako.

Inasikitisha sana kuwa siku zinavyozidi kwenda mbele jamii inakuwa ikichekelea yale ambayo huonekana ni kinyume na maadili ya kawaida ya kila siku. Umeona haitoshi wewe kutembea na mkewe ila pia ulitangaze kwa watu wengine.

Nakusihi angalia sana nyenendo zako, unaweza kuona kana kwamba yale unayofanya unakomesha kumbe unajikomesha mwenyewe. What goes around comes back around.

Miss you mama watoto wangu..hii comment nimeiapprove sisemi kitu tena
 
Sijaona urafiki hapa AshaDii ila naona tuu uzinzi unapewa kipaumbele. Ameona nyendo za mke wa rafiki yake muda mrefu na badala hata ya kumweleza hilo the so called friend kaamua kukaa kimya na mwishowe kafanya kile ambacho hakupaswa kufanya
Na by the way inaonyesha walianza siku nyingi sana kutengeneza mazingira haya na hii ya matatizo na kutokuelewana kati yake na rafikiye imekuwa justfication tuu ya kuionyesha walichodhamiria

Nafurahi umelitazama the same way nalitazama. Inakuwa mbaya zaidi anapofurahia tabia hizi hadharani na wengine kuunga mkono. Haipendezi kabisa! Namsihi sinafungu abadilike ama aje atueleweshe.

AshaDii mambo? Missed you.
Huyu kijana anaamini ataonekana mwanaume zaidi kwa kutangaza upuuzi kama huu...wewe puuza tu...na mimi nimepuuza.

Hey you... Missed you more. Mambo mswano (Vijana wanasema) lol

RR how are you doing lakini? Naomba lile kundi lenu liongeze tawi moja wapo la mafunzo (how to behave like a gentleman regardless unaharibu) :)
 
Last edited by a moderator:
Mke wa mtu anaenda kupanua miguu yake kwa mwanaume mwingine halafu anarudi nyumbani kwa mumewe na kujifanya bado anampenda?

Poleni sana mlio kwenye ndoa!
 
Miss you mama watoto wangu..hii comment nimeiapprove sisemi kitu tena

Baba watoto ndio negative side ya siye kuwa watatu, hadi zamu ikike na tulishakubaliana DEMBA (Asante kwa kulea dear, baba watoto yupo kama nilivyomuacha) na gfsonwin wawe na zamu kubwa kuliko yangu, maana miye nguvu zilishajiishia Lol.

Miss you too.
 
Nafurahi umelitazama the same way nalitazama. Inakuwa mbaya zaidi anapofurahia tabia hizi hadharani na wengine kuunga mkono. Haipendezi kabisa! Namsihi sinafungu abadilike ama aje atueleweshe.

Hey you... Missed you more. Mambo mswano (Vijana wanasema) lol

RR how are you doing lakini? Naomba lile kundi lenu liongeze tawi moja wapo la mafunzo (how to behave like a gentleman regardless unaharibu) :)

Nilitaka niendelee kukupa kampani hapa...ila naona blaza Kaizer keshawahi....
All good....:D:thumbup:
 
Last edited by a moderator:
Baba watoto ndio negative side ya siye kuwa watatu, hadi zamu ikike na tulishakubaliana DEMBA (Asante kwa kulea dear, baba watoto yupo kama nilivyomuacha) na gfsonwin wawe na zamu kubwa kuliko yangu, maana miye nguvu zilishajiishia Lol.

Miss you too.

Hakuna mke mzuri kuliko nke wa ujanani mpenzi AshaDii
 
Last edited by a moderator:
U think u ar hero huoni hat aibu kutembea na mke wa rafikio afu unajisifu kwA uupuzi wako
 
U think u ar hero huoni hat aibu kutembea na mke wa rafikio afu unajisifu kwA uupuzi wako

Mwanamke almost always has the final say when it comes to consensual sex.

Huyo mke naye ndo walewale tu kama walivyo wengine.

Kujifanya wema sana kumbe hawana lolote. Wakipata upenyo tu wanakusaliti.

Heri kubakia mseja kuliko kujitia kwenye hali ya kuwaza na kuwazua kila kukicha.
 
Ni kweli usemayo am the final say ila elewa huyu mwanamke tayar ndo yake ina matatizo na huyu ndo alikuwa mzuliishi wa kesi
Je kama katumia hiyo granted na udhaifu kumpata huyu mama

Lakini kikubwa watu wamebadilika hat huyu mama hana akili anatembea na rafiki/ shem kweli
Tunatakiwa kubadili tabia na kujua dhaman ya miili yetu
 
Mwanamke almost always has the final say when it comes to consensual sex.

Huyo mke naye ndo walewale tu kama walivyo wengine.

Kujifanya wema sana kumbe hawana lolote. Wakipata upenyo tu wanakusaliti.

Heri kubakia mseja kuliko kujitia kwenye hali ya kuwaza na kuwazua kila kukicha.

Ngabu you good?

Hivi wema wa mtu unaendana vipi na kufanya ama kutofanya sex nje ya ndoa? Naomba unieleweshe.

Suala la kuwa mseja, naamini ni chaguo tu or hiyo ni moja ya sababu but si sababu. Kuna wanawake hawaamini katika kuwa na mahusiano zaidi ya mtu mmoja. Hivyo naamini unauwezo wa kumpata, else itokee kasoro nyingine tu kwake.
 
Ngabu you good?

I'm wonderfully well, my friend.

Hivi wema wa mtu unaendana vipi na kufanya ama kutofanya sex nje ya ndoa? Naomba unieleweshe.

Una kamusi ya Kiswahili hapo ulipo uangalie fasili ya neno 'wema'?

Suala la kuwa mseja, naamini ni chaguo tu or hiyo ni moja ya sababu but si sababu.

Ni wazi ni chaguo na si shurutisho.

Kuna wanawake hawaamini katika kuwa na mahusiano zaidi ya mtu mmoja.

Kwanza, wako wapi hao wanawake wa hivyo?

Pili, umesema hawaamini. Kutokuamini jambo na kutokulifanya hilo jambo ni vitu viwili tofauti.

Tatu, kuna hata hao ambao unasema hawaamini katika kuwa na mahusiano ya zaidi ya mtu mmoja ambao bado hutoka nje ya mahusiano yao na wenza wao.

Kwa nini nasema hivyo? Kwa sababu, kwa mfano, mke wa mtu akichepuka tu mara moja moja kwa mtindo wa NSA, huko si kuwa na mahusiano ya zaidi ya mtu mmoja. Mahusiano ni zaidi ya screwing. Kuna date nights, hot dates, you name it.

Halafu, mahusiano nayo kwani ni lazima yahusishe mboli na kipapa tu? Je watu wakiwa wana flex huko kwenye ma Instagram, au kuambiana wanapendana huku JF pasipo waume, wake, au wenza wao kujua, hiyo inakubalika katika hali ya kawaida?

Hivyo naamini unauwezo wa kumpata, else itokee kasoro nyingine tu kwake.

Hahahaaaa how I wish it was that easy.
 
Back
Top Bottom