Usiku huu nimechukua Pc ya mke wangu ila walau ni log in Jf. Kumbe na yeye ni member ya jf, alisahau kulog off.
Huwa tuna chati sana kwenye pm, na nilishajipanga kumtongoza. Kweli mungu ananipenda.
Nimeingia kwenye pm zake, sijakuta pm chafu. Kweli mke wangu ni mwaminifu. Mungu ambariki.
Imenibidi nimrudishie pc yake.
hahaha.luck u are! Hebu nenda mmu ukasome post zake kabla hajabadili pw
halafu panda juu kwenye politics forum ndo utazimia kujua yeye ndo CDM Dam dam against yu Mr Magamba
Sasa na wewe ili mambo ya kae safi hebu jaribu kumtongoza kama atakubali ujue alikuwa hana mtu anaye mtafuta ni wewe tu uliyetokea kumpenda!!! hahahaaaaa