Mwanga Mkali
JF-Expert Member
- Jul 8, 2018
- 1,289
- 2,414
Kusikia neno "watu wake" akili yako iliishia kwa walinzi tu! Hukufikiria zaidi ya hapo kweli?
Ujinga mzigo!
Ujinga mzigo!
Akija PM wa Uingereza watazuia walinzi wake?Kiprotokali, mwenyeji ndio mwenye jukumu la kumlinda mgeni na walinzi wake huwa karibu tu kuangalia protocol na hupeana mkakati kwa pamoja. Akiwa ndani ya hotel au makazi waliofikia nje ya hotel mwenyeji huhusika ndani ya hotel ni jukumu la mgeni.
Kuna exceptions kwa wale wanachama 5 wa permanent seat kwenye UNSC tu ambao ulinzi wa viongozi wao muda woteni wa kwao wenyewe
Weweee acha kabisaMbona Obama alipokuja walinzi wake hawakuwekwa pembeni?
74 na 75 ulikuwa na umri gani mkuu? samahaniKujibu hoja yako zingatia sana kuwa Tanzania ni nchi ya amani, la sivyo haya wala usingeyaona. Protokali kitu kimoja, ulinzi ni kitu kingine. Mwaka 74 au 75 kama sikosei Nyerere na Iddi Amin walihudhuria kikao cha OAU Ethiopia. Iddi Amin na msafara wake wakawa wanamsogea Mwal Nyerere (aliyewahi kufika, amekaa), huku Iddi Amin akimnyoshea mkono Nyerere kama kumsalimia. Mlinzi wa Nyerere akanyanyuka haraka kumsukuma kwa nguvu Iddi Amin (lilikuwa jitu la miraba minne) ikabidi Nyerere amwamrishe Mlinzi wake kwa sauti kali: "Mwache!". Hali ikatulia lakini kukawa mtafaruku protokali ikapita walinzi wa Ethiopia wakaipeleka timu ya Iddi Amin kwingine kabisa. Angekuwa ni Rais Samora Machel au Rais Moi isingekuwa issue.
Binti mbona umeanza lugha za taarabu? safisha nyumba usije achika,jf utaikuta tu.Sindano imeshaingia na ndiyo maana sasa unaweweseka. Unadhani Watu wote hapa JF ni Hayawani / Wapumbavu kama ulivyo Kinara wao Wewe?
ni mapungufu kikweli, ila naona kila zama na kitabu chakeHawa walinzi wa Rais wetu Kuna kauweledi Cha intelligence na protocal Wana lack.
Mara nyingi naonaga wakati Rais anasalimia wakati anapoondoka sehemu wanazuia watu wasimpe mkono Rais halafu Rais analazimisha kutoa mkono inakuwa kama ushindani flani Kati ya walinzi na Rais Ila haitoi picha nzuri kwa public mkuu wa PSU afanyie kazi haya mapungufu wakati wa mashiba kulikuwa hakuna haya mambo
Binti umemaliza kutapika ili tuondoe ndoo au bado?Nyote ni mafalasi na mnasumbuliwa na stress za maisha
Mkuu uii una uhakika nayo?Kuna exceptions kwa wale wanachama 5 wa permanent seat kwenye UNSC tu ambao ulinzi wa viongozi wao muda woteni wa kwao wenyewe
Mshamba mkubwa Wewe na najua kabisa kuwa Sindano yangu imekuingia vizuri kabisa. Unataka kutulazimisha tukujue Wewe ni TISS? Pumbavu!Binti mbona umeanza lugha za taarabu? safisha nyumba usije achika,jf utaikuta tu.
Iongelee nafsi yako usiongelee kwa uwingi,sema; "Usitake kunilazimisha nijue.." sio kutulazimisha.."Mshamba mkubwa Wewe na najua kabisa kuwa Sindano yangu imekuingia vizuri kabisa. Unataka kutulazimisha tujue Wewe ni TISS? Pumbavu!
Soma Viena protocolMkuu uii una uhakika nayo?
mihemuko mingine bwana, sasa hapa mkuu unajadili hoja iliyoletwa au umekuja na uzi wako mpya?Rais wa Ethiopia hana madaraka kama Waziri Mkuu wa Ethiopia.
Swine.Iongelee nafsi yako usiongelee kwa uwingi,sema; "Usitake kunilazimisha nijue.." sio kutulazimisha.."
Naona bado unaendelea na taarabu zako hapa halafu ukija achika uje kufungua thd hapa yakutaka ushauri,
Binti angalia Nyumba yako kwanza JF ipo siku zote.
😄😄😄😄Wee jamaa umenichekesha sanaUsimfananishe Obama na vitu vya ajabu.
Weeeeeeee nani atathubutu kuwaweka pembeni hao jamaa......!Mbona Obama alipokuja walinzi wake hawakuwekwa pembeni?