Nimemshitukia mke wangu

Nimemshitukia mke wangu

mimi naona kakuambia ukweli kabisa, kazi hiyo na ya kutunza familia ni ya mwanaume, kama utaendelea na tabia hiyo namshauri aendelee kukudharau tu, pia hivyo viwanja viwili inaonekana umeficha ndo maana kakuambia hivyo, unastahili kabisa kudharaulika mkuu, namuunga mkono mkeo, timiza wajibu wako mtoto wa kiume.
Mwenzio anataka ushauri si madongo kuwa mtu mwelewa
 
Hivi hizi nyumba watu wataenda nazo makaburini?

Wewe jenga tu si utaishi humohumo ikiwa yako au yake au yenu ni nini tofauti?
Hata KAMA HUIJUI KESHO UTAFIKA UKIWA MZIMA NI SHARTI UIWAZIE NA KUIPANGIA KALENGO NDUGU YANGU
 
Kiwanja ulichoandika jina la meanao wa nje ni cha mwanao

Kiwanja chako na mkeo kinatakiwa kiwe na jina lako au la mkeo, la mtoto ulompata na mkeo

Jana kuna kiugomvi cha maneno kilitokea baina yangu na wife katika maneno yaliyonishitua ni wife kuniambia mwanaume mzima hata kiwanja mpaka ninunue Mimi!! Iko hivi,ni majuzi kachukua mkopo akanunua kiwanja na akaanza kutoa kipaumbele tuanze ujenzi japo kuna Viwanja vingne viwili ninavyo ili nimeviandka majina ya first born wangu( wa nje ya ndoa) wana mum kauli hiyo imenifikirisha kuwa huenda hata tukijenga hiyo nyumba ipo siku ntapewa maneno ya manyanyaso kwan inaonekana kama ni individual asset not family kama nilivyochukulia.ushauri je wewe kauli hiyo unaichukuliaje?
 
Pole sana bro ila nikuulize swali kabla ya kukushauri jina la hicho kiwanja mmeandika jina la nani
 
Pole sana bro ila nikuulize swali kabla ya kukushauri jina la hicho kiwanja alichonunua mke mmeandika jina la nani
 
Yaani anunue kiwanja halafu aandike bwana na bibi? Hii kanuni mbona ngumu. Kiwanja nikinunua naandika jina langu tu jina lake litatokea kama amechangia. Kuandika jina la mtoto mmoja tu wakati unao wengi huo ni upendeleo unaoweza kuleta balaa baadaye.

Kuwa muwazi na strict, mpe za uso kwamba kwa sasa kipaumbele ni kujenga nyumba ya familia, na jina liandikwe Bw na Bi.... au andikeni jina la mtoto (siyo wa nje ya ndoa), mnaweza kuchagua kimoja kati ya hivyo ulivyonavyo mkabadili jina. Lakini hata hivyo naona utakuna na kikwazo cha ushirikiano, hiyo nyumba utajenga mwenyewe tu na mwenzako atakuwa anajenga yake pembeni. Huyo mwanamke anatokea pande zipi.....sorry, nje ya mada!
 
kwani ilikuwaje hd ukampa mtoto wako viwanja vyote viwili, nadhani tatizo ndio limeanzia hapo....

Mkuu Sukula, wengi wanaingia kwenye ndoa bila kujua nini hasa maana ya ndoa. Kama mleta hoja ni Mkristo basi anasikitisha sana, yanayomkuta chimbuko ni yeye mwenyewe, inawezekanaje mtu yuko kwenye ndoa halafu ananunua viwanja kwa jina la mtu mwingine? Hiyo ndoa ni ya kujionyesha tu, sioni kama kuna ndoa hapo.

Vv
 
wakuu hebu nisaidie nyie m naosema kuandikisha mali mr nad mrs...
mfano gar unaandikaje hayo majina? ujue hapa kuna masuala ya TIN ambapo ni majina halisi tu...

Je hiz nyumba tunazojenga huku uswaz, skwata, kiwanja 9x12 unaandika wapi hiyo mr na mrs?

wanandoa wanatakiwa kwanza wajiamin kuwa huwaachani ili waweze kufanya maendeleo kwa pamoja, ukiona watu wanaanza kuviziana na kufichana mambo au kuleteana dharau za kijinga, ujue taa ya njono imewaka

Mkuu, kwenye kiwanja kuandika Mr and Mrs inawezekana ila kwenye gari haiwezekani kwa kuwa TIN namba inatakiwa. Ni suala la makubaliano tu kama sheria hairuhusu majina mawili.

Vv
 
Mimi nashangaa mnamhukumu kuandika majina ya mwanae wa kabla ya ndoa wakati hajasema ni mazingira gani yalifanya amuandike mwanae.

Halafu kama wewe una mtoto kabla ya ndoa huwezi kumuandika kwenye mali yako yoyote?
Eti kisa mamaake itamuhusu????

Huyo mtoto wa nje ya ndoa kupata urithi ni sawa kabisa. Lkn alitakiwa agawanye pia kwa mke wake wa ndoa. Sasa kama anavyo viwili kwa jina la mtoto wake wa nje, kwa nini kimoja kisiwe chake na mkewe?

Vv
 
Yaani anunue kiwanja halafu aandike bwana na bibi? Hii kanuni mbona ngumu. Kiwanja nikinunua naandika jina langu tu jina lake litatokea kama amechangia. Kuandika jina la mtoto mmoja tu wakati unao wengi huo ni upendeleo unaoweza kuleta balaa baadaye.

Ni ubinafsi ndio unawasumbua wengi wengi, tena ni kutokujua nini maana ya ndoa.

Kama wanaume tunaweza kuwanunulia vimada nyumva na gari, inakuwaje vigumu kuandikisha mali kwa majina ya Mr and Mrs?

Tatizo wana ndoa wengi wako mguu nje mguu ndani.

Vv
 
Nawaza kati ya Mke wako na mtoto wako nani anapaswa kuaminiwa kwenye familia?
 
Jenga kiwanja ulichomnunulia mtoto, na andika majina ya watoto wako wote kama warithi,anaekuambia ununue kingine anajua hela unapataje?
La msingi warithi ni watoto wako wote,na wewe na mkeo muishi kwenye nyumba hyo,hataki aondoke,over
 
Private matters. Hayatuhusu. Absolutely.
185527_346304482121021_1494331275_n.jpg
 
Priority yako nje ya ndoa ilitegemea akuone Wa maana huna akili ww
 
Hata KAMA HUIJUI KESHO UTAFIKA UKIWA MZIMA NI SHARTI UIWAZIE NA KUIPANGIA KALENGO NDUGU YANGU

Umekurupuka! nisome tena vizuri:

quote_icon.png
By FaizaFoxy
Hivi hizi nyumba watu wataenda nazo makaburini?

Wewe jenga tu si utaishi humohumo ikiwa yako au yake au yenu ni nini tofauti?
 
Jamaa mbinafsi

Katengeneza mwenyewe matatizo kwenye ndoa yake halafu anamlaumu mkewe

Mwanae angekuwa na kiwanja kimoja na kingine angeandika jina lale au la mtoto alozaa na mkewe

Lakini viwanja vyote 2 aandike jina la mtoto wa nje halafu mkewe atulie tu? Ndio kaamua nae atafute vyake sasa....amelikoroga alinywe

kwa nini viwanja uandike majina ya mtoto mmoja?

mimi naona kakuambia ukweli kabisa, kazi hiyo na ya kutunza familia ni ya mwanaume, kama utaendelea na tabia hiyo namshauri aendelee kukudharau tu, pia hivyo viwanja viwili inaonekana umeficha ndo maana kakuambia hivyo, unastahili kabisa kudharaulika mkuu, namuunga mkono mkeo, timiza wajibu wako mtoto wa kiume.

Ni kauli ngumu, lakini kwa namna moja AU nyingine, umeisababisha... Nasema hivi kwa sababu, inawezekana na yeye anaumia kwa wewe kuandika jina la watoto wako wa kwanza (WA NJE YA NDOA) kwenye viwanja vyako viwili... THE SAME QUESTIONS UNAZOULIZA, JIULIZE KWENYE HIVYO VIWANJA VIWILI....

1. Ni vya familia..??
2. Ni vya huyo mtoto.??
3. Kama vya huyo mtoto then mama wa huyo mtoto si vinamuhusu...??

Mamaa yuko sahihi kwa sababu ulianza kumwaga mboga, anamwaga ugali usilalamike,,

huwezi kununua kiwanja then unaandika jina la mtoto wako wa nje ya ndoa akuangalie tuuu, bora ungesema umendika jina la mtoto wenu mliezaa wote.
ukitaka usalama nunueni kiwanja cha wote kwa jina la Mr & mrs mjenge uone kama atakuambia maneno kama hayo.

Back
Top Bottom