Nimemshitukia mke wangu

Nimemshitukia mke wangu

Jana kuna kiugomvi cha maneno kilitokea baina yangu na wife katika maneno yaliyonishitua ni wife kuniambia mwanaume mzima hata kiwanja mpaka ninunue Mimi!! Iko hivi,ni majuzi kachukua mkopo akanunua kiwanja na akaanza kutoa kipaumbele tuanze ujenzi japo kuna Viwanja vingne viwili ninavyo ili nimeviandka majina ya first born wangu( wa nje ya ndoa) wana mum kauli hiyo imenifikirisha kuwa huenda hata tukijenga hiyo nyumba ipo siku ntapewa maneno ya manyanyaso kwan inaonekana kama ni individual asset not family kama nilivyochukulia.ushauri je wewe kauli hiyo unaichukuliaje?
Naichukulia kama ilivyosemwa, kuwa ukijenga utakuwa unajenga kwenye kiwanja cha watu!
 
Kama unataka uishi kwa manyanyaso jenga nyumba kwenye kiwanja alicho nunua mwanamke. Binafsi nina principal project zangu nazipeleka mwenyewe. Yeye akileta vihela vyake na mshauri afanyie vitu vingine.

Niliona jinsi ndugu yangu mmoja alivyonyanyasika baada ya kuwa amejenga kwenye kiwanja cha mwanamke.

Aliambiwa ondoa nyumba yako, niachie kiwanja changu. Mimi kila mtu adevelop properties zake mwenyewe. Watoto wetu

watashare baadae.


Du! Hivi hizi ndio Ndoa tulioagizwa ! heheheh
 
Back
Top Bottom