Matege
JF-Expert Member
- Dec 7, 2013
- 1,476
- 648
Kweli tumetofautiana kwa nin niishi maisha ya mashaka hasa kwenye mambo yanayowezekana.....Kama ni mimi najenga kabisa hapo bila kujali itakavyokuwa uko mbelen na hata ikifikia mahal ikiwa mbaya nitamwachia nyumba na kila kitu ndan nitondoka na begi langu la nguo tu maadam tuna (m)watoto nae. Watu wanazawadia ma-girlfriend nymba na magar sembuse nilie unganisha nae damu bana...Na sintajal matumiz ya hizo mali tukishaachana auze, abomoe atajua yeye...
Ntaanza upya tena, Ila huna uhakika wa kupata pesa tena utang'ang'ana.
hii ni fursa naiona kwako kabisaa... miss chagga njoo huku mae
Last edited by a moderator: