Prince Hope
JF-Expert Member
- Jul 21, 2012
- 2,154
- 447
Dalili ya mvua mawingu...............
Dalili ya mvua mawingu...............
Jana kuna kiugomvi cha maneno kilitokea baina yangu na wife katika maneno yaliyonishitua ni wife kuniambia mwanaume mzima hata kiwanja mpaka ninunue Mimi!! Iko hivi,ni majuzi kachukua mkopo akanunua kiwanja na akaanza kutoa kipaumbele tuanze ujenzi japo kuna Viwanja vingne viwili ninavyo ili nimeviandka majina ya first born wangu( wa nje ya ndoa) wana mum kauli hiyo imenifikirisha kuwa huenda hata tukijenga hiyo nyumba ipo siku ntapewa maneno ya manyanyaso kwan inaonekana kama ni individual asset not family kama nilivyochukulia.ushauri je wewe kauli hiyo unaichukuliaje?
Hayo ni mambo yenu ya kifamilia sisi hayatuhusu...
mkuu usitake kila mtu atambue upuuzi ulioufanya hapo!........japo kuna Viwanja vingne viwili ninavyo ili nimeviandka majina ya first born wangu( wa nje ya ndoa).......
huo mkopo amedhamini na kitu gani cha familia?
kaandika jina/majina gani katika hatia
kama hakuna na kwa jinsi sheria za Tanzania zilivyokaa kaa hasa ile ya LAW OF MARRIAGE ACT, nakushauri ununue kiwanja chako wewe na uandikishe jina la mtoto wenu wa ndoa.
Na kila properties utakayonunua andika majina ya watoto wenu.
Anatokea mkoa wa tabora japo kasomea std 1 mpaka elimu ya chuo hapa dar.nashukuru ma great thinkers nahisi kupumua maana sumu ilinijaa
Wewe ni mbinafsi usishangae hiyo kauli. Unaacha kumuamini mkeo unaenda andikisha mtoto wa nje. Bado hujajua maana ya ndoa. Jinga sana wewee.
Wewe ni mbinafsi usishangae
hiyo kauli. Unaacha kumuamini mkeo unaenda andikisha mtoto wa nje. Bado
hujajua maana ya ndoa. Jinga sana wewee.
Wewe ni mbinafsi usishangae
hiyo kauli. Unaacha kumuamini mkeo unaenda andikisha mtoto wa nje. Bado
hujajua maana ya ndoa. Jinga sana wewee.