mfano email ina despatch book?
Yeye kaonesha email Au kaonesha Barua aliyopeleka Bungeni Tena Barua hiyo anayosambaza mitandaoni haijasainiwa Pengine ame draft Siku hiyo hiyo!
Kama katuma email Pia aoneshe katuma Kwenye official email ya Mtu husika?
Mtendaji Mkuu wa Bunge Kwenye Masuala ya Utawala Ni Katibu sio Spika
email ni tofauti na barua?
Professor Muhongo yuko bungeni kama kawaida halafu bungeni kuchangia siyo lazima uongee na kupiga kelele unaweza kutoa mchango wako kwa MaandishiHuenda mimi ndio sielewi, Nassari anatakiwa bungeni aonekane sura yake, au michango yake haionekani? Mfano profesa Muhonngo yuko bungeni? Umewahi kumuona akichangia? Huko bungeni nusu yao wapo kusaka sitting allowance tu ila hawana mchango wowote zaidi ya kujaza vyoo. Bunge lenyewe hilo dhaifu ndio la kwenda kuhudhuria muda wote? Kama una shughuli zako ni bora ufanye shughuli zako kuliko kwenda kupoteza muda kusikia bunge la kumsifia rais.
Ujielewi kabisa.Gen. Sarakikya njaa inamsumbua. Akipona njaa yake au kama njaa yake ikahama toka kichwani iliko kwa sasa ikarudi tumboni ataacha upuuzi alioamua kujihusisha nao.
Kwani Sarakikya ni CDF?Heshima kwenu wanajamvi,
Leo kulikuwa na kikao cha Wachili wa kabila la Wameru.Wachili ni viongozi wa kimila wa kabila la kimeru.Ni sawa na viongozi wa kabila la waMaasai Laigwanani.
Wachili leo wamekutana kwaajili ya kuunga mkono uamuzi wa Spika wa kumvua ubunge Mh Nassari kwa kosa la kutohudhuria vikao vitatu vya bunge kwa mujibu wa kanuni za Bunge adhabu yake ni kuvuliwa / kufukizwa bungeni.
Katika kikao hicho ambacho kiliitishwa haraka mara baada ya uamuzi wa Spika pia kilihudhuriwa na Mkuu wa JWTZ mstaafu General Mirisho ambaye pia alipongeza uamuzi huo wa Spika.
Kwa wadhifa wake nadhani hakutakiwa kujihushisha na siasa nyepesi nyepesi.
Najiuliza Nassari akienda Mahakamani na kuonekana alionewa General Mirisho atauweka wapi uso wake.CDF ni wadhifa mzito sana,sijawahi kuona au kusikia General Waitara au General Musuguri wakitajwa tajwa katika mambo ya ajabu ajabu.
Mbaya zaidi kikao chenyewe kilikuwa kimetamalakiwa na wanaCCM waliovalia kofia na fulana za Chama.
Pengine Mwl Nyerere alikuwa sahihi kumwondoa General Mirisho JWTZ na kumpeleka Nigeria kama Balozi.
Naomba kuwasilisha kwa unyenyekevu wa viwango vya kimataifa.
Ngongo mgombea ubunge mtarajiwa Arumeru Mashariki kwa tiketi ya CUF ya Propesa Lipumba.
Wewe jamaa zimo kweli kichwani au hii umetumia masaburi kuwaza.Gen. Sarakikya njaa inamsumbua. Akipona njaa yake au kama njaa yake ikahama toka kichwani iliko kwa sasa ikarudi tumboni ataacha upuuzi alioamua kujihusisha nao.
Upo sahihi General ni cheo kikubwa kujihushisha na upuuzi ule halafu wamekifanya kikao cha kikabila kuwa cha CCM wakati mbunge aliepigwa chini alikuwa kupitia CHADEMA hapo ndo ufala ulipo, lakini weka sawa hapo kipindi Musuguli alipokuwa mkuu wa majeshi(CDF) alikuwa Major General tu.Heshima kwenu wanajamvi,
Leo kulikuwa na kikao cha Wachili wa kabila la Wameru.Wachili ni viongozi wa kimila wa kabila la kimeru.Ni sawa na viongozi wa kabila la waMaasai Laigwanani.
Wachili leo wamekutana kwaajili ya kuunga mkono uamuzi wa Spika wa kumvua ubunge Mh Nassari kwa kosa la kutohudhuria vikao vitatu vya bunge kwa mujibu wa kanuni za Bunge adhabu yake ni kuvuliwa / kufukizwa bungeni.
Katika kikao hicho ambacho kiliitishwa haraka mara baada ya uamuzi wa Spika pia kilihudhuriwa na Mkuu wa JWTZ mstaafu General Mirisho ambaye pia alipongeza uamuzi huo wa Spika.
Kwa wadhifa wake nadhani hakutakiwa kujihushisha na siasa nyepesi nyepesi.
Najiuliza Nassari akienda Mahakamani na kuonekana alionewa General Mirisho atauweka wapi uso wake.CDF ni wadhifa mzito sana,sijawahi kuona au kusikia General Waitara au General Musuguri wakitajwa tajwa katika mambo ya ajabu ajabu.
Mbaya zaidi kikao chenyewe kilikuwa kimetamalakiwa na wanaCCM waliovalia kofia na fulana za Chama.
Pengine Mwl Nyerere alikuwa sahihi kumwondoa General Mirisho JWTZ na kumpeleka Nigeria kama Balozi.
Naomba kuwasilisha kwa unyenyekevu wa viwango vya kimataifa.
Ngongo mgombea ubunge mtarajiwa Arumeru Mashariki kwa tiketi ya CUF ya Propesa Lipumba.
Upo sahihi General ni cheo kikubwa kujihushisha na upuuzi ule halafu wamekifanya kikao cha kikabila kuwa cha CCM wakati mbunge aliepigwa chini alikuwa kupitia CHADEMA hapo ndo ufala ulipo, lakini weka sawa hapo kipindi Musuguli alipokuwa mkuu wa majeshi(CDF) alikuwa Major General tu.
Uenda ni njaa na mafaò hayatosherezi mahitaji yake
Au ndo mchawi anajidhihirisha kwa jamii
Tambua kwamba njaa haina baunsaMkuu wangu General Mirisho hana njaa hata kidogo kwa wadhifa wake jeshi litamtunza hadi mwisho wa maisha yake.CDF ni cheo kikubwa sana tena sana hana shida kumbuka pia Mirisho alishakuwa Balozi wetu Nigeria,Ethiopia kwa muda mrefu sana nadhani zaidi ya miaka 25 au 30 hivi huyu si mtu mwenye njaa hata kidogo.
Nafiki uswahiba wake na Mzee Baba labda ndio sababu lakini njaa hapana hana hizo shida hata kidogo.
Tambua kwamba njaa haina baunsa
Professor Muhongo yuko bungeni kama kawaida halafu bungeni kuchangia siyo lazima uongee na kupiga kelele unaweza kutoa mchango wako kwa Maandishi
Sent using Jamii Forums mobile app
MRISHO NA MIRISHO ni majina mawili tofauti.Huyo Sarakikya ni baba yake Gambo?.......au ni majina tu ya Mrisho?
Ungetupiamo na kale kapicha ka juzi wakati wananegotiate!
Unapingana na Kanuni za BungeMaandishi angeyatolea nyumbani kwake.
Usiumie ndugu kwani watu wakizidisha mahaba hua wanajitoa ufahamHiyo email kakuoneSha?
1) Kaituma kwa nani Na lini?
2) ilikuwa ya Taarifa Au kuomba Ruhusa?
3) aliambatanisha Na uthibitisho ( attachment) ya huo udhuru?
4) alijibiwa?
5) Aliujulisha Uongozi wa Chama chake Bungeni kuhusu kutokuwepo kwake?
6) ilionesha huo udhuru Ni wa Muda gani?
Msilete Ujinga
Kuchangia kwa Maandishi Mara nyingi ni njia bora zaidi kuliko kupiga keleleUpuuzi mtupu, mwanaume mzima uache shughuli zako uende ukachangie kwa maandishi ili upate sitting allowance!?