Pole mkuuuSiku isiyo sahaulika katika historia ya maisha yangu ni pamoja na hii tarehe 6/11/2026 saa 11 alfajiri nikiwa katika hospitali ya litembo, muda na saa ambayo mke wangu kipenzi alipoteza uhai baada ya kupata upasuaji kwaajili ya kuleta mtoto.
Ee Mungu nakusihi Ee Bwana wangu ikikupendeza wewe umfufue mke wangu kwaajili tu ya utukufu wako ili niwe naye tena, nashindwa kuhimili huu upweke
Hayaee Sister AbigailPole mkuu
😭😭😭Siku isiyo sahaulika katika historia ya maisha yangu ni pamoja na hii tarehe 6/11/2026 saa 11 alfajiri nikiwa katika hospitali ya litembo, muda na saa ambayo mke wangu kipenzi alipoteza uhai baada ya kupata upasuaji kwaajili ya kuleta mtoto.
Ee Mungu nakusihi Ee Bwana wangu ikikupendeza wewe umfufue mke wangu kwaajili tu ya utukufu wako ili niwe naye tena, nashindwa kuhimili huu upweke
NiambieHayaee Sister Abigail