Nimempima UKIMWI nikakuta anao

Toka hapo nilimrudia Mungu na matendo ya zinaa yapo mbali na mimi ila nilichojifunza bora ununue kuliko kua na demu unaamini upo peke yako confidence ya kwenda peku hua kubwa ila jamaa anashangaza mwanamke wa bar unataka kupiga bila ndomu? Mwanamke wa kwenda nae dry ni uoe bas
 
mpaka unanusa harufu ya mishikaki
Mkuu ukimwi unautafuta kwa nguvu lakini hauambukizwi kama wengi wanavyosema wote wangeugua ukimwi na kwambia hakuna ambae hafanyi hiyo mambo kupitia hilo zahma nilijifunza vingi sanaaaa
 
Habari za Muda Huu Waungwana,

Samahani kama nItakuwa nakosea kuwasilisha hii Mada lakini naombenii ushauri kwenye hili, Juzi Kati nilikamata mdada mmoja kutoka Bar fulani Maeneo ya Ubungo, Sasa nikampeleka kwangu usiku huku tukiwa tumelewa, Ilipofika muda wa kunjunjana nikataka kuvaa kondomu akasema anaogopa ataumia.

Nikamwambia basi nikupime kwanza maana vipimo ninavyo, akacheka akasema mimi ni mwanaume wa 4 kwake hana historia ndefu then akasema wiki mbili zilizopita aliumwa akaenda kuchek ngoma akakutwa hana, lakini akasema kama nataka kuhakikisha basi nimpime.

Akawa hana wasiwasi kabisaa, me nikampima then mzigo ukasoma positive, hapa nikatumia ujanja kumficha ili asijue, niliogopa angejisikia vibaya. Basi nikazuga zuga mpaka tukalala, asubuhi nikampa nauli akasepa.

Sasa Nachoomba mnisaidie ni Je nimueleze kuwa yeye ni HIV positive au nimpotezee maana nakutana nae sana mtaani huku.

Anafanya kazi katika bar ya mtaani.

Natamani kumueleza ukweli lakini nashindwa.

Je, nifanyeje?
Nitakua mjinga wa mwisho kuamini hili! Lazima ulikula mzigo, lazima!
 
Labda kama hana utimamu wa akili kichwani, yaani umpime mtu kwa lengo la kumpandisha mlima halafu uzidiwe na pombe, kisha asubuhi umshiti halafu jioni hukumtafuta,
Story kadanganya ila atakua amepiga ila yeye yupo safe na mwenzake anao na wanawake ndio watu waliokatika kundi hatari la maambukizi mwanaume kama umetahiliwa na hufanyi ngono mara kwa mara uwezekana wa kupata maambukizi ni mdogo na wale wenye viba100 wako salama sana ingawa wanasemwa sana
 
Toka hapo nilimrudia Mungu na matendo ya zinaa yapo mbali na mimi ila nilichojifunza bora ununue kuliko kua na demu unaamini upo peke yako confidence ya kwenda peku hua kubwa ila jamaa anashangaza mwanamke wa bar unataka kupiga bila ndomu? Mwanamke wa kwenda nae dry ni uoe bas
BORA UNUNUE... Nakazia hapo
 
90% ya pisi kali za mjini tunazozifukuzia kwa kigezo cha matako,weupe,na shepu wanatumia dawa na ndio tunaogharamia hata laki kuhonga ila wameumia yule mtaalamu wa ushauri na saha alinambia vitu vingi sana
 
BORA UNUNUE... Nakazia hapo
Yan bora mkuu cuz unatumia mpira ila ukimuamini amina kwakua yupo kitaa then anakupa story hivi wanawake wanaojiuza wanafikiria nini kumbe yeye ndo anajiuza vibaya na kwa hatari kuliko wale na wale unaambiwa wanakunywa prep kila baada ya mwezi ili kuwalinda na hatari yoyote
 
Nakubaliana na ww 100% mkuu... Ukimuamini tu ndio unaumia... Bora ule mrax na ndomu daily
 
Umemfichaje huku hujamla huo usiku ulimpa sababu gani ya kutomla
 
Hayo majibu ni weak Positive. Inawezekana huu mstari wa kwanza ulijitokeza baada ya dakika 30 kupita hivyo sio majibu sahihi. Ulitakiwa usome ndani ya dakika 15 tu.

Hiko kipimo kikiwa wazi hivyo baada ya dakika 30 kuna wakati huonekana mistari miwili huo wa kwanza toka ulipoweka damu unakuwa umefifia kuliko ule wa pili (Control). Kama inavyoonyesha kwenye hii test yako hivyo wala sio majibu halisi

Na hicho kipimo ni SD Bioline tena baada wewe kuona mistari miwili alitakiwa apime tena kwa kutumia Kipimo kingine Uni gold ndio uthibitishe hiyo ni HIV.

Ukweli ni kwamba kwa majibu yaha uliyotutumia huyo Dada wala hana VVU
 
Kuna upotoshaji mkubwa kwenye hii story mkubwa mnoo kuna vingi ameficha nilipitia hii hali hata mimi ya demu mwenye changamoto hiyo ila alikua nao ila alikua anatumia dawa mda mrefu sasa doctor wake anapochukua dawa alimwambia unaweza fanya sex na mtu usimuambukize cha muhimu usichubuke kwa kujiandaa vyema nilipita nae kavu baada ya mtu kunitonya kua hebu mpime nilipompima akawa positive ndo kusema ukweli nilijua na mimi nimeshaukwaa ila Mungu ni mwema nilipima mara tatu hakuna kitu nipo negative nilichokuja kujifunza ukimwi unapatika kana kwa michubuko mpaka blood transfusion iwepo. Na ile michezo ya kumkomoa mwanamke sijui upige mbususu mpaka itoe moto ndo safari ya ukimwi unaipata
Mie mwaka 2012 nilipata demu, nilipokuwa najiandaa kwenda uvinza wakati amechanua miguu nikaona kipele kibichi katika tako, akili ikaniambia acha unachotaka kufanya kweli nikaghairi kwenda uvinza, nikavaa raincoat nikapiga bao 4, asubuhi nikasepa ila bado akilini nilikuwa nakumbuka kile kupele. Baada ya wiki mbili tukapanga kurudia ila nikamwambia nataka tupime ili nipige bila combat akakubari, tulipokutana tukapima nikaviacha vipimo nikaenda bafuni, niliporudi nikakuta kipimo kimoja kingine hakipo nikauliza kipimo kingine kipo wapi?

Akajibu changu nimeshachukuwa hicho kilichobaki nichakwako, kuangalia kilichobaki ni +ve, nikamwambia usinitanie lete hicho kingine tuone, akagoma katakata, mechi ikaahirishwa nikiwa nineshadata hofu imenijaa, nikaanza kuogopa hata kupima, nikamshirikisha jamaa yangu aliyekuwa anafanya kazi maabara alikuwa anamjua huyo manzi, huyo jamaa akaniambia tulia kwanza nikatulia, baada ya kama miezi 2 huyo manzi aliumwa malaria akaenda maabara kupima yule jamaa wa maabara akanipigia simu kwamba kama nitalipia kipimo cha HIV ampime bila kujua, nikamjibu mpime, baada ya kumpima,akaniambia ni +ve.

Nikamuomba aniuzie vipimo ili nijipime tena kweli vipimo nikapewe nilipopima nikakuta +ve, kwakweli nguvu ziliniisha nikalala kitandani, yaani nilianza kujinyanyapaa mwenyewe, niliona ni heri mwendawazimu anayeshinda jalalani lakini ana afya njema.
Wakati bado nipo kwenye dimbwi la mawazo likanijia wazo" weka mate pima tena," nikaweka mate nikapima majibu +ve, nikajiuliza inamaana virus wamekuwa wengi mpaka kwenye mate,? wazo jingine likanijia" pima tena bila kuweka kitu chochote", kupima majibu +ve hapo sasa nikapumua, nikarudi maabara kumueleza jamaa akaniambia sijui fluid iliisha nikakupa fluid nyingine, ikabidi anipime tena Muache Mungu aitwe Mungu.
 
Story kadanganya ila atakua amepiga ila yeye yupo safe na mwenzake anao na wanawake ndio watu waliokatika kundi hatari la maambukizi mwanaume kama umetahiliwa na hufanyi ngono mara kwa mara uwezekana wa kupata maambukizi ni mdogo na wale wenye viba100 wako salama sana ingawa wanasemwa sana

Kiongoziii sijui nikwambie nn ili unielewe lkn tulikuwa tumelewa, tena nilimpa K vant...mimi kwangu nina vipimo box zima, sheria ya kwenda kavu kwangu mpka upime, halafu sasa nikwambie kitu katika hvo vipimo nlivokuwa navyo me sijawah kujipima ata kidogo, mademu wote wakija nawapimaga wao tu na hakuna anaekataaga au anaesem na mm nipime maana wakikutaga nna vipimo tu basi wanajua me nnajikinga....
 
wewe vyako vinasomaje? umejichecki mara ngapi?
ukimwambia anaweza akakustaki kwa sababu wewe siyo daktari.atakugeuzia maneno atapata hela.maana utakuhisi utamdhalilisha kiasi atakosa mawindo ya mtaani kwenu

Mimi sijawah kupimaa ata siku moja...ila alilidhia nimpime na hakutaka kujua status yangu maana alivoona nna vipimo aliniamini sana
 
Mie mwaka 2012 nilipata demu, nilipokuwa najiandaa kwenda uvinza wakati amechanua miguu nikaona kipele kibichi katika tako, akili ikaniambia
Sawa. Matumizi ya buffer isiyo ya kipimo husika nayo yanaweza kukupa majibu yasiyo sahihi.

Inatakiwa yatumike maji ya kipimo cha HIV na sio maji ya MRDT wala VDRL test. Pia hata ikitoa mistari miwili kwenye test ya kwanza (SD Bioline) ni lazima kipimo cha pili nacho kitumike (Unigold)

Ndio Maana hivi vipimo havifai kupewa watu wasio na utaalam huo kwenda kujipima vinginevyo wawe na maelezo yakutosha.
 
Habari za Muda Huu Waungwana,

Samahani kama nItakuwa nakosea kuwasilisha hii Mada lakini naombenii ushauri kwenye hili, Juzi Kati nilikamata mdada mmoja kutoka Bar fulani Maeneo ya Ubungo, Sasa nikampeleka kwangu usiku huku tukiwa tumelewa, Ilipofika muda wa kunjunjana nikataka kuvaa kondomu akasema anaogopa ataumia.

Nikamwambia basi nikupime kwanza maana vipimo ninavyo, akacheka akasema mimi ni mwanaume wa 4 kwake hana historia ndefu then akasema wiki mbili zilizopita aliumwa akaenda kuchek ngoma akakutwa hana, lakini akasema kama nataka kuhakikisha basi nimpime.

Akawa hana wasiwasi kabisaa, me nikampima then mzigo ukasoma positive, hapa nikatumia ujanja kumficha ili asijue, niliogopa angejisikia vibaya. Basi nikazuga zuga mpaka tukalala, asubuhi nikampa nauli akasepa.

Sasa Nachoomba mnisaidie ni Je nimueleze kuwa yeye ni HIV positive au nimpotezee maana nakutana nae sana mtaani huku.

Anafanya kazi katika bar ya mtaani.

Natamani kumueleza ukweli lakini nashindwa.

Je, nifanyeje?
Umwambie ukweli UPI?

Afu, kwani amekuambia umwambie ukweli wowote?

Fanya yako Arifu!!
 
NAona wengi mnashindwa kunielewa kwasababu tu nimeongea maneno Machache, Lakini Kuclear ni kwamb uyu Bintii ameshawahi kuja kwangu Mara mbili kabla ya hii ishu kutokea na sikumgusa ata kdgo na tulilala kitanda kimoja...Siku zote mbili alizokuja tulikua tunapiga story...nlimwambia mambo mengiii sanaa nikamueleza na plan zangu na nikamwambia kuwa mwez wa 12 Naoa, Alisema ametokea sana kunipenda kwasababu nimekua mkwelii....

Ile siku ya kwanza nlimuomba game akanambiaa anawah kazn, wala sikumlazimisha na nikamwambia siwez kukulazimisha kwasababu hautofanya kwa Moyo mmoja....( kumbe moyoni nlisema vile kwasababu sikuwa na kondomu) ila angenipa sikuile ningepiga kavu, Siku ya pili alikuja na nlikuwa na kondomu lakn alikuwa anaumwa...tukapiga story sanaa akasepa , sasa juzkat ndo nkapita anapofanyia kazii nkaagiza mbuzi na Kvant nkapigaaa, nlivotoka nkawambia akimaliza ajee home, ndo akaja ikawa kama hvo ilivokuwa
 
Umwambie ukweli UPI?

Afu, kwani amekuambia umwambie ukweli wowote?

Fanya yako Arifu!!

Yaani hakunambiaa wala ata hakuwaza kuangaliaa yale matokeo... yn ni kama alinisusia akijua yy ni mzima kwa 100% kwahyo hana shida ya kuyaulizia
 
Nenda kwenye Bar anapofanyakazi, gonga ulabu hadi uwe tungi mbayathen hapo ndio utamwambia kuwa ana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom