Nimempiga mtoto kibao, nimelia mimi

Nimempiga mtoto kibao, nimelia mimi

Nimeumia sana. Sijawahi kumpiga mtoto wangu ila aliniudhi nikajikuta nampiga kibao. Nimelia mimi, inauma sana.

Sijui wengine mnawezaje ila naumia sana. Wanawake ni wa kuheshimu sana maanamimi sijambeba tumboni nasikia hivi sijui mama yake angekuwepo ingekuaje.

Mungu awape nguvu wamama wote.
Biblia inasema usimyime mtoto mapigo... Mlee mtoto ktk njia impasayo nae hatoiacha hadi uzee
 
Mtoto wako ni wakike !??
Sisi babaetu alikua anatupiga mpaka anatamani akusukumie ukuta wa nyumba ukuangukie..
Ukikutana naye kwenye kordo unarudi ulikotoka mbio..
Bado ananguvu ila natamani sikumoja naye nimpe kichapo kidogo

😁😁 mzee alikuwa mjeda nini!?

Ukikutana naye kwenye korido unarudi mbioo, duh c mchezo
 
wakiume mkuu...hata nilichezea sana kichapo...mzee alishanilaza sana nje. sema naumia kwa sababu namfeel dogo. nimetoka huku ndugu.
 
Pole, mm iliwai nitokea unakuta umemchapa kofi mtoto, haraka haraka ukilipima unaona sio saisi yake Kabisa na unamuona mtoto anakua mnyonge gafla ,unajisikia vibaya
 
Tamthilia zinawaharibu sana na ndo shida ya kuwa na katoto kamoja ka kuitwa junia, kwahiyo mtoto anavyopigana na ‘dada’ unaona sawa tu.... hujajibu swali hapo juu kuwa ulilia chumbani au hadharani..?
 
Mtoto wako ni wakike !??

Sisi babaetu alikua anatupiga mpaka anatamani akusukumie ukuta wa nyumba ukuangukie..
Ukikutana naye kwenye kordo unarudi ulikotoka mbio..

Bado ananguvu ila natamani sikumoja naye nimpe kichapo kidogo
[emoji23][emoji23][emoji23] mkuu you made my night daah sio kwa kipigo hiko
 
nafikiri nimetumia njia isiyo sahihi... motto wa miaka 8 sio sawa njia niliyotumia.
Mtoto wa miaka nane tiari ni mwanafunzi wa darasa la2 au la3 alafu leo hii kashuhudia baba analia baada ya kumpiga kibao[emoji23][emoji23] lazima akawasimulie wenzake
 
Pole, mm iliwai nitokea unakuta umemchapa kofi mtoto, haraka haraka ukilipima unaona sio saisi yake Kabisa na unamuona mtoto anakua mnyonge gafla ,unajisikia vibaya
Inauma sana...wakwangu alikaa chini akaziba masikio kwa sekunde kadhaa.....aliposimama akawa anakimbilia chumbani kwake huku anapepesuka...nilihisi kuzimia. sitaweza kusahau hilo tukio....kile kibao hakikua chake kabisa.
 
Mtoto wa miaka nane tiari ni mwanafunzi wa darasa la2 au la3 alafu leo hii kashuhudia baba analia baada ya kumpiga kibao[emoji23][emoji23] lazima akawasimulie wenzake
mwanaume halii mbele za watu....
 
Tamthilia zinawaharibu sana na ndo shida ya kuwa na katoto kamoja ka kuitwa junia, kwahiyo mtoto anavyopigana na ‘dada’ unaona sawa tu.... hujajibu swali hapo juu kuwa ulilia chumbani au hadharani..?
Ni kweli mkuu...ila mimi nina wengi...nilitoka nje nisingeweza kulia mbele yake.
 
Nimeumia sana. Sijawahi kumpiga mtoto wangu ila aliniudhi nikajikuta nampiga kibao. Nimelia mimi, inauma sana.

Sijui wengine mnawezaje ila naumia sana. Wanawake ni wa kuheshimu sana maanamimi sijambeba tumboni nasikia hivi sijui mama yake angekuwepo ingekuaje.

Mungu awape nguvu wamama wote.
Pole sana mkuu maana leo uko kwenye siku zako😀😀😀

za kuumia
 
Back
Top Bottom