Nimempiga mtoto kibao, nimelia mimi

Nimempiga mtoto kibao, nimelia mimi

😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳

Nimeumia sana. Sijawai kumpiga mtoto wangu ila aliniuzi nikajikuta nampiga kibao....nimelia mimi. inauma sana. sijui wengine mnawezaje ila naumia sana. Wanawake ni wa kuheshimu sana mimi sijambebatumboni nasikia hivi sijui mama yake angekuwepo ingekuaje... Mungu awape nguvu wamama wote.
 
Yaani kumuonya mtoto ndio ajisikie uchungu hadi analia. ... sasa huyo mtoto atampatia malezi ya namna gani mkuu?
nafikiri nimetumia njia isiyo sahihi... motto wa miaka 8 sio sawa njia niliyotumia.
 
Nimeumia sana. Sijawai kumpiga mtoto wangu ila aliniuzi nikajikuta nampiga kibao....nimelia mimi. inauma sana. sijui wengine mnawezaje ila naumia sana. Wanawake ni wa kuheshimu sana mimi sijambebatumboni nasikia hivi sijui mama yake angekuwepo ingekuaje... Mungu awape nguvu wamama wote.
Good job! Huo ni mwanzo mzuri, except the crying part just make sure unakaonyesha kwamba t will happen again kakileta ujinga
 
Gangamara weye acha unyoro nyoro watoto watakushinda.

Nimeumia sana. Sijawai kumpiga mtoto wangu ila aliniuzi nikajikuta nampiga kibao....nimelia mimi. inauma sana. sijui wengine mnawezaje ila naumia sana. Wanawake ni wa kuheshimu sana mimi sijambebatumboni nasikia hivi sijui mama yake angekuwepo ingekuaje... Mungu awape nguvu wamama wote.
 
Tatizo ni malezi ya kuanzia huyu anayejiita baba!! Hawa ndo watoto wakikua ukimsemeaha tu anakuokotea hata jiwe babake anmwambia wee flani acha mwanangu. Mtoto akilia ongeza kofi au bakora mpaka atulie atakuwa na akili ya uelewa wa kipi kizuri na kibaya,
 
Alifanya nini?
Nilishampa maonyo ya kugombana na dada...nimerudi nikakuta anagombana na dada kisa Kazima TV....sikuwai kushuhudia ugomvi wake ila nilipanick maana alikua anamvuta na kumpiga ...kwa kweli ilikua ni fujo
 
  • Thanks
Reactions: BAK
kwa stail hii huko misri/egypt tutarudi tende na balaghashia
 
Mtoto analia, dada analia na Baba analia! Ulienda kulilia chumbani au wote mliangusha kilio hapo sebuleni?

Nilishampa maonyo ya kugombana na dada...nimerudi nikakuta anagombana na dada kisa Kazima TV....sikuwai kushuhudia ugomvi wake ila nilipanick maana alikua anamvuta na kumpiga ...kwa kweli ilikua ni fujo
 
Nimeumia sana. Sijawai kumpiga mtoto wangu ila aliniuzi nikajikuta nampiga kibao....nimelia mimi. inauma sana. sijui wengine mnawezaje ila naumia sana. Wanawake ni wa kuheshimu sana mimi sijambebatumboni nasikia hivi sijui mama yake angekuwepo ingekuaje... Mungu awape nguvu wamama wote.
Hahaha!!! benteke usilie ni kawaida_ me nikajua ww ndo yule ticha aliemcharanga dogo mapanga kule Tarime
 
Back
Top Bottom