Nimempiga mtoto kibao, nimelia mimi

We mlee kimandazi mandazi tu ila ujue hilo n bomu ipo siku litakulipua tu.
Yan mwanaume mzima unampiga mtoto then unalia wewe? Kweli wanaume tunazidi kupungua
Nimeumia sana. Sijawahi kumpiga mtoto wangu ila aliniudhi nikajikuta nampiga kibao. Nimelia mimi, inauma sana.

Sijui wengine mnawezaje ila naumia sana. Wanawake ni wa kuheshimu sana maanamimi sijambeba tumboni nasikia hivi sijui mama yake angekuwepo ingekuaje.

Mungu awape nguvu wamama wote.
 
Sisi enz zetu unapigwa mpka unakunya AF yanapigwa na maviii ....
Dunia inaenda wap hii .....
 
Nimeumia sana. Sijawahi kumpiga mtoto wangu ila aliniudhi nikajikuta nampiga kibao. Nimelia mimi, inauma sana.

Sijui wengine mnawezaje ila naumia sana. Wanawake ni wa kuheshimu sana maanamimi sijambeba tumboni nasikia hivi sijui mama yake angekuwepo ingekuaje.

Mungu awape nguvu wamama wote.
Pole sana dada.
 
Back
Top Bottom