Nakumbuka kuna siku nilimletea bi mkubwa shida home, mzee alinipiga mtama wa futi 10 nikadondoka na kiuno, nikasira kula siku nzima nikasema sitakula alivyo kuja kuambiwa mm ndiyo niliye toa ile kauli aliwekea kwenye target room alinikamata miguu juu kichwa chini nilikula mitama ya hewani nilipigwa mikanda mixer mabanzi ngumi za shingo... Tangia siku nikawa mtoto ,wenye adabu hata nikisikia harufu ya mzee tayari nimesha msalimia kabla sijamwona.. Mwisho wa siku akaja kuwa best friend wangu, a.k.a mtunza siri za mzee...
Wazazi nowday wanachangia kwa asilimia kubwa watoto kuwa machoko... Mwanaume hutakiwa kuonyesha madhaifu yako kisenger namna hiyo