Nimempenda msichana FaceBook

Nimempenda msichana FaceBook

ha ha haha ha ha ha ha akija utakuta demu bayaaa alafu bongeeee
 
Hivi hilo nalo anaomba ushauri eti hajui cha kufanya!
Kwa hali hii itafikia wengine kuomba ushauri kwenda kunya!
Teh,.teh..,teh!
 
Nimecheka. Hizo picha za facebook za photoshop zitawapa ugonjwa wa moyo. Kwa ushauri mdogo mwone mtu physicaly ndipo unene usije kwaa kisiki.
 
ni mzuri kweli.. hata mi namuona!

Grace-Sarfo.jpg
 
salaam wakuu
kuna dada nimempenda kule fecebook na nilikuwa napitia pitia kwenye sehemu ya " find friends "mara mtoto huyu hapa,nikamwandika private message akajibu,nikaomba urafiki akajibu sasa ni kama week tuna chats ila ni mzuri sana.
ila sasa yupo mbali na nilipo nifanyeje?

Download picha yake uweke screen server
 
Samahani hivi matokeo ya form two na four yameshatoka?
 
Na humu kuna avatar nyingi tu utazipendaje??
 
salaam wakuu
kuna dada nimempenda kule fecebook na nilikuwa napitia pitia kwenye sehemu ya " find friends "mara mtoto huyu hapa,nikamwandika private message akajibu,nikaomba urafiki akajibu sasa ni kama week tuna chats ila ni mzuri sana.
ila sasa yupo mbali na nilipo nifanyeje?

- Huyo anaweza kuwa mwanaume mwenzako. Ulilizwa uje kutoa taarifa.
- Zinaweza kuwa picha za photoshop.
- Wazinzi ndio walizwao kutokana na picha.
 
Back
Top Bottom