Nimempenda msichana FaceBook

Nimempenda msichana FaceBook

kwan ushaonananae au umeona picha ukaipenda sema umependa picha ya mschana facebook wewe
 
Ee Maria, mawazo yangu yote wewe ni mwananmke kumbe ni Mwenzetu! Pole na maswahibu ya kimapenzi.

kumbe na wewe ni mvulana?
mbona comments zako zina harufu mbaya hivyo?
ni kweli we ndo masafisha choo lumumba?
 
Ee Maria, mawazo yangu yote wewe ni mwananmke kumbe ni Mwenzetu! Pole na maswahibu ya kimapenzi.

Unapitwaa kule kwenye siasaa wahi kabisaa nasikiaa Slaa na Zito wamedundanaaaaaa
 
......sasa si umfuate bro.....ila ukirudi utupe mrejesho.....
 
salaam wakuu
kuna dada nimempenda kule fecebook na nilikuwa napitia pitia kwenye sehemu ya " find friends "mara mtoto huyu hapa,nikamwandika private message akajibu,nikaomba urafiki akajibu sasa ni kama week tuna chats ila ni mzuri sana.
ila sasa yupo mbali na nilipo nifanyeje?
Kabla ya yote inabidi tuziangalie hizo post 4827 ulizotuma, maana inawezekana umeingilia akaunt ya mtu.... this cant be serious man, au na wewe ni...

salaam wakuu
kuna dada nimempenda kule fecebook na nilikuwa napitia pitia kwenye sehemu ya " find friends "mara mtoto huyu hapa,nikamwandika private message akajibu,nikaomba urafiki akajibu sasa ni kama week tuna chats ila ni mzuri sana.
ila sasa yupo mbali na nilipo nifanyeje?

dude kama hakuna posibility ya kukutana ama kuja kuwa pamoja why waste ur time? Real life is not a disney world. Stay focused life is to precious to waste ur time.
 
Back
Top Bottom