Nimempenda kaka wa x boy wangu

Nimempenda kaka wa x boy wangu

Unataka ushauliwe nini wakati hiyo K yako ni kama kichwa cha mwenda wazimu kila mtu akitaka anato... bila chenge. Kwa kifupi kama ulikua huelewi wewe ni mala.. tu na kama sijasahau nishawahi kukuona ukiuza papuchi pale corner ba.
 
Du ule wimbo wa shemeji mbona unazima taa umetimia! ila mpende maana mapenz kizunguzungu!
 
Unataka ushauliwe nini wakati hiyo K yako ni kama kichwa cha mwenda wazimu kila mtu akitaka anato... bila chenge. Kwa kifupi kama ulikua huelewi wewe ni mala.. tu na kama sijasahau nishawahi kukuona ukiuza papuchi pale corner ba.

Hahahahaha mbona povu jingi umepanic eeh?
 
Plz achana nae bana vizuri haviishi hii dunia vingine tuviache tu! Some time usikubali hisia zikuendeshe kumpenda mtu shilikisha akili na pia ona mbali huyo mtu ana familia ushachelkewa na hawezi kuwa chaguo lako other wise utakuwa kama chombo cha starehe kwake..!
 
So umelegea na huwa unakazwa?

Wewe na kasinde ndo makahamba mnaoongoza humu JF.

Yes,I have said thant and You cana print it.

Hahahaha ww ndo ndo kahamba tena changundoa mamamamaeeee zako hunijuwi
 
Plz achana nae bana vizuri haviishi hii dunia vingine tuviache tu! Some time usikubali hisia zikuendeshe kumpenda mtu shilikisha akili na pia ona mbali huyo mtu ana familia ushachelkewa na hawezi kuwa chaguo lako other wise utakuwa kama chombo cha starehe kwake..!

Ok ntalifikiria sana hli
 
Mmmmh..... Mi naomba tuu nikupe pole..!!
 
Umesema ati umeachana na mdogo wake about two weeks ago? mkubalie tu kaka mtu; and all the best!
 
Shkmoon wakuu
Jaman apa nshachanganyikiwa kabisaaa sijui kwa nn dunia hainpendi
Jana nlienda mliman city kutembea ghafla nkakutana na kaka wa aliyekuwa mchumba wangu ambae nliachana nae kama 2 weeks ago,

Katika maongezi yetu akafurah sana kuonana mie akaniomba nipate dinner pamoja nikamkatalia lakn aliniomba sana mwishowe nkaona any way siyo ishu
Basi tukaenda smwhere for dinner
Baada ya dinner tukaanza kunywa wine na story kibao
Mwisho wa yote akaniambia kuwa toka siku ya kwanza aliponiona na mdogo wake alinipenda,nimpe nafasi nikamwambia kwa sasa nina mpenz mwngne ambaye ni (mkurya wangu nliyefahamiana hum hum))akananipromis mambo mengi sana ikiwa n pamoja na kuninunulia gar ya kifahari,nikamwambia anipe mda (ikumbukwe ana mke na watoto wa 2) bas
Tulikunywa sana mwishowe nikamuomba anipeleke nyumban,bas tukaingia kwenye gar acha aanze makis romanc ckuelewa chochote,,
Tukaagana kwamba nitampa jibu leo,
Kuamka leo asbh kantext et jana aliinjoy sana akinikosa atapata presha,
Sijamjibu lolote
Of coz me huwa nipo wazi sifichi hisia zangu nahis nampenda pia!
Nishaurini nimpe jibu gan

Yaani binti una mambo meeengi mno yaani ah!!!!!!
 
Back
Top Bottom