Nimempenda kaka wa x boy wangu

Nimempenda kaka wa x boy wangu

Attachments

  • 1400071800824.jpg
    1400071800824.jpg
    12.9 KB · Views: 155
Shikamooni wakuu,

Jaman apa nshachanganyikiwa kabisaaa sijui kwa nini dunia hainipendi, jana nilienda Mliman city kutembea ghafla nkakutana na kaka wa aliyekuwa mchumba wangu ambae niliachana nae kama two weeks ago.

Katika maongezi yetu akafurahi sana kuonana mie akaniomba nipate dinner pamoja nikamkatalia lakini aliniomba sana mwishowe nkaona any way siyo ishu, basi tukaenda somewhere for dinner.

Baada ya dinner tukaanza kunywa wine na story kibao, mwisho wa yote akaniambia kuwa toka siku ya kwanza aliponiona na mdogo wake alinipenda, nimpe nafasi nikamwambia kwa sasa nina mpenzi mwingine ambaye ni (mkurya wangu niliyefahamiana humu humu)) akananipromis mambo mengi sana ikiwa ni pamoja na kuninunulia gari ya kifahari.

Nikamwambia anipe mda (ikumbukwe ana mke na watoto wa 2) basi tulikunywa sana mwishowe nikamuomba anipeleke nyumbani. Basi tukaingia kwenye gari acha aanze makisi romance sikuelewa chochote

Tukaagana kwamba nitampa jibu leo, kuamka leo asubuhi kantext eti jana aliinjoy sana akinikosa atapata presha, sijamjibu lolote. Of course me huwa nipo wazi sifichi hisia zangu nahisi nampenda pia.

Nishaurini nimpe jibu gani?

doh hii kali mume wa m2 sumu
 
Kwanza Pole. Pili inaelekea hao brothers walikujadili na kufikia uamuzi kuwa huenda wewe "sio wife material" Dalili ni hizi hapa.

1. yeye kama kaka, nguvu zake zilipaswa kuelekezwa kwenye kuurudisha uchumba wa wewe na ndugu yake, siyo yeye kukugeuza hawara

2. the fact kuwa anaona anaweza kukunulia gari ili akufurahishe katika awamu hii ya kukutafuta ni dalili kuwa ni mtu selfish asiyejali kumuumiza hata kaka yake kihisia ili mradi tuu akupandishe kitandani

3. tangu ukiwa na kaka yake ni dhahiri alikuwa anakutaka, na hata ungeolewa na kaka mtu huyu bwana lazima angejaribisha kukutaka

4. ukijipa muda wa kutosha kutafakari na kufatilia jinsi mahusiano yako yalivyovurugika na kaka mtu HUENDA ukamkuta huyu mpya nyuma ya pazia kwa ama kuchangia ushauri/wazo ama lolote.

5. Kama unampenda your x-boy Unaweza ukarudisha mahusiano kama hutakuwa umtembea na huyu mpya lakini kama velocity yenu wawili ndio hii uliyoisimulia sidhani hata mnahitaji mawazo ya watu tena. Ushauri wangu ni kuwa hebu weka MATUTA kwenye highway ya kuelekea kwako au kwake ujipe muda wa kutafakari vinginevyo utajikuta umemgonga mtembea kwa miguu na una kesi ya kujibu.
 
Ukahaba popote na kumbe hili ndilo limekufanya umuache mkurya....fungus danguro kabisa ili tujue tunakupata wapi
 
yote maisha tu....mpe tu kwa roho moja ila siyo kwa ahadi ya zawadi aliyohaidi kukupa.
toa kama ni mchezo tu wa kawaidan uliokwisha zoea.
 
mpe tu,,kwani mdogo wa mtu si aliitumia akakuachia bado unayo,,,,mpe na huyo kaka mtu ingekuwa wanaondoka nayo au inajibandika usoni sawa,,,ila uje utujuze nani fundi zaidi wa mikuyati
 
ushajua kuwa ana mke na watoto sasa unataka ushauriwe kitu gani? au gari alilokuahidi linakuzuzua???
 
Last edited by a moderator:
kwahiyo baada ya yeye kukwambia atakununulia gari ndo ukaanza kumpenda, kazi kweli kweli umukagame
 
Shikamooni wakuu,

Jaman apa nshachanganyikiwa kabisaaa sijui kwa nini dunia hainipendi, jana nilienda Mliman city kutembea ghafla nkakutana na kaka wa aliyekuwa mchumba wangu ambae niliachana nae kama two weeks ago.

Katika maongezi yetu akafurahi sana kuonana mie akaniomba nipate dinner pamoja nikamkatalia lakini aliniomba sana mwishowe nkaona any way siyo ishu, basi tukaenda somewhere for dinner.

Baada ya dinner tukaanza kunywa wine na story kibao, mwisho wa yote akaniambia kuwa toka siku ya kwanza aliponiona na mdogo wake alinipenda, nimpe nafasi nikamwambia kwa sasa nina mpenzi mwingine ambaye ni (mkurya wangu niliyefahamiana humu humu)) akananipromis mambo mengi sana ikiwa ni pamoja na kuninunulia gari ya kifahari.

Nikamwambia anipe mda (ikumbukwe ana mke na watoto wa 2) basi tulikunywa sana mwishowe nikamuomba anipeleke nyumbani. Basi tukaingia kwenye gari acha aanze makisi romance sikuelewa chochote

Tukaagana kwamba nitampa jibu leo, kuamka leo asubuhi kantext eti jana aliinjoy sana akinikosa atapata presha, sijamjibu lolote. Of course me huwa nipo wazi sifichi hisia zangu nahisi nampenda pia.

Nishaurini nimpe jibu gani?
Hapoooooo!!! Umelipenda gari la ahadi na si vinginevyo.
 
Huna maadili wewe unataka uwape ngoma mtu na mdogo wake kisa Manfongo kasemahakuna ushemeji?
 
Fikiria kwanza kabla hujavua nguo,mdogo wake umeachana nae 14days ago hapo hapo una mwengine na ghafla amekuja X bother inlaw uhisi speed yako ni kubwa sana na mda mdogo? sijui una miaka mingapi lakini mind you H.I.V. ipo na ukijiona kua ukipata Wine kidogo unajiachia nakushauri usiwe una kunywa mpaka unafikia kutoa Kiss kama pipi...
 
hujatulia kabisa dada yangu, mme wa mtu kwako atakusaidia nini na hichi kitu kjnawagharimu sana dada zetu, magari, simu n.k, sawa utamkubalia utapata gari ila atakutumia tu mwisho wa yote hawezi kukuoa. umri utaenda na mwisho wa siku hu
hutopata wa kukuoa na jua kutoka na mme wa mtu unajiingiza ktk vita na mke wake na hujui mke wake atakulipiza kwa lipi maana lazima ajue tu kwa namna jamaa alivyodata lazima mkewe ataona mabadiliko tu. huo ndo ushauri wangu ila kwakuwa nawe umekiri umempenda najua natwanga maji ktk kinu lazima umkubalie tu ila kuwa makini na hata ukianza nae fanya juhudi ya kujitoa ktk uhusiano huo mapema kwani hauna manufaa yoyote kwako.
 
Back
Top Bottom