Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
- Thread starter
- #81
ha haaa, na mimi nilikataa kabisa hiyo kesi, lol!Aaaah hehehehehe ungelaumiwa kama ungemfuta bi harusi wa watu mapoda yake , si unajua mara nyingi watu huwa sio waaminifu ingetokea mtu kama angemuuliza mbona hana poda na kama angesema huyu mpambe wangu kanifuta ungelamiwaje, ingawa amekwambia mwenyewe lkn asingetaja kama aliomba afutwe lol. Naikumbuka sendoff yangu nilikataa hadi lipstick lkn mapoda nilishindwa maana kulika na wapambe noumaa.
umeona eeeh!Hiyo picha ya pili katokelezea!!!
unajua nakudai?
utakuwa uliolewa bikraAaaah hehehehehe ungelaumiwa kama ungemfuta bi harusi wa watu mapoda yake , si unajua mara nyingi watu huwa sio waaminifu ingetokea mtu kama angemuuliza mbona hana poda na kama angesema huyu mpambe wangu kanifuta ungelamiwaje, ingawa amekwambia mwenyewe lkn asingetaja kama aliomba afutwe lol. Naikumbuka sendoff yangu nilikataa hadi lipstick lkn mapoda nilishindwa maana kulika na wapambe noumaa.
charminglady nina kesi na wewe
Kilimo kwanza muhimu
ni maumbile yake
jisachi tu utagunduaNini tena?
nani huyu Firstlady1?