Nimempenda huyu bi harusi

Nimempenda huyu bi harusi

hahaha. Dot gani sasa? Akija cjui ntamwambia nini.
sijui..... niliona tu kama naanza kujumlisha na kutoa, nikaamua kuishia njiani.....
itabidi akija tuikabidhi hiyo kesi kwa snowhite maana ndo bingwa sana wa kuomba misamaha
 
Last edited by a moderator:
hiyo ndo rangi yake banaaaaaa
au ulitaka ajipige deki?:nono:
alitakiwa ajisugue na liwa au manjano au machicha ya nazi huo ni uchafu bwana
 
sijui..... niliona tu kama naanza kujumlisha na kutoa, nikaamua kuishia njiani.....
itabidi akija tuikabidhi hiyo kesi kwa snowhite maana ndo bingwa sana wa kuomba misamaha

Sasa shem unafika mbali. Yaishe
 
Last edited by a moderator:
alitakiwa ajisugue na liwa au manjano au machicha ya nazi huo ni uchafu bwana
wewe binti wewe.........
huyo bi harusi ni msafi saaaanaaaaa
unafikiri hapo alipofikia ni mchezo?
 
Back
Top Bottom