Nimempenda huyu bi harusi

Nimempenda huyu bi harusi

The man is handsome too

Yeah! You are completely right but you did forgot something very important.....That lady is legsome also!
Best Regards to Arabela.

Wishing you health weekend.
 
Last edited by a moderator:
daaa bora huyu anaonekanaa kabisa lakini harusi za njini mapambo kilo saba hadi sura halisi inapotea kabisa! ni wachache ambao wanaweza kuchukua maamuzi kama ya huyu dada!
 
Ulifumba jicho moja shosti?.......Au ulimkazia macho bi dada tuuu.....Jamani huyu kaka kaumbwa FP mchungulie kiduchu tu....
ha haaaa, mwenzio nina aleji na kuangalia wakaka.......
siwezi kabisa kuwaangalia usoni, lol!
 
daaa bora huyu anaonekanaa kabisa lakini harusi za njini mapambo kilo saba hadi sura halisi inapotea kabisa! ni wachache ambao wanaweza kuchukua maamuzi kama ya huyu dada!
yaani Ruta tupo page moja kabisaaaaaaa
inahitaji kujiamini sana kutokea kama huyu bibi harusi, ndo maana nampa big up sana yaani
 
Yeah! You are completely right but you did forgot something very important.....That lady is legsome also!
Best Regards to Arabela.

Wishing you health weekend.

H a ha aaaa, haya shemeji...ahsante kwa ku nikumbusha.

Salamu zako zimefika shem...weekend njema too
 
Nimempenda sana huyu bibi harusi jamani,
kapendeza sana, so natural
Kanikumbusha sana siku ya harusi yangu..... niligombana sana na mpambaji na mapoda yake....
kila akinipaka namwambia punguza, baadaye matron wangu (sababu alikuwa ananifahamu sana) akaniambia nisigombane naye, tutafanya maarifa kwenye gari.......
basi tulijifutaje sasa humo ndani ya gariiiiii, mpaka tunafika church tumependezaaaaaaa!
Big up Bibi harusi wewe......., anayemfahamu anifikishie hongera zangu.......

DSC_0418.JPG

DSC_0209.JPG

Kweli dear amependeza sana hata mimi napenda mt akiwa natural. Yaani wewe uliifuta poda jamani umenikumbusha mbali sana.
 
Halafu nahisi huyu hakujihangaisha kwenda saloon nadhani alijipamba mwenyewe lol. Big up kwa kupunguza gharama manake hapo siioni sababu ya kwenda saloon
 
Kweli dear amependeza sana hata mimi napenda mt akiwa natural. Yaani wewe uliifuta poda jamani umenikumbusha mbali sana.
ha haaaa, rafiki mimi ni mtaalamu wa hayo mambo.....
siku nyingine nikamsimamia dada mmoja. kuna salon unajua unashindwa kubishana na wapambaji sababu hujawazoea, basi "mmependeza mmependeza", na mapouda yetu..... mimi kila nikijicheck naona siyo kabisaaaa.....
kufika kwa gari nikajifuta. bi harusi asiniombe na yeye nimfute........
nikamgomea maana alipendeza kiukweli yaani
 
Aaaah hehehehehe ungelaumiwa kama ungemfuta bi harusi wa watu mapoda yake , si unajua mara nyingi watu huwa sio waaminifu ingetokea mtu kama angemuuliza mbona hana poda na kama angesema huyu mpambe wangu kanifuta ungelamiwaje, ingawa amekwambia mwenyewe lkn asingetaja kama aliomba afutwe lol. Naikumbuka sendoff yangu nilikataa hadi lipstick lkn mapoda nilishindwa maana kulika na wapambe noumaa.
 
Back
Top Bottom