Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
Nimempenda sana huyu bibi harusi jamani,
kapendeza sana, so natural
Kanikumbusha sana siku ya harusi yangu..... niligombana sana na mpambaji na mapoda yake....
kila akinipaka namwambia punguza, baadaye matron wangu (sababu alikuwa ananifahamu sana) akaniambia nisigombane naye, tutafanya maarifa kwenye gari.......
basi tulijifutaje sasa humo ndani ya gariiiiii, mpaka tunafika church tumependezaaaaaaa!
Big up Bibi harusi wewe......., anayemfahamu anifikishie hongera zangu.......